4 months ago💚💚💚🎤 Uza nyimbo Damaresi.com uanze kulipwa, naamini uta ipenda sana huduma yetu ya kuuza nyimbo kwa njia ya Downloads tu online, sio streaming, fans wako wata miliki mziki kwenye simu zao.. ✍️Utachagua bei ya kuuza from Tsh 333, 666, 999 and Tsh 1,333 per song, msanii ndio ana panga bei. 🎤Tuna Website na Application kumbuka wapenzi wengi wa muziki wakiswahili hawana hela ya Internet kukesha online ku stream nyimbo ili wasanii wachanga wapate namba zinazotoshea kulipwa, huku Damaresi 77k tu unalipwa. 🎵Mkataba wetu ni wa kiswahili na mfupi upo online, na hakuna malipo yoyote ya awali ni baada tu ya mauzo Tuna kata asilimia 23% una baki na 77% 🎧Kama upo interested nijuze nkutumie link ya kujiunga.. Utahitaji kitambulisho na TIN kama huna TIN sehemu ya TIN pakia namba ya simu na kitambulisho tena. Utaleta TIN ukisha pata. 🚶♀️Au tembelea Damaresi.com or Pakua Damaresi App for Android. 📝Upitie na ku apply kuuza nasi kutokea huko. 🎵Karibu @Damaresi_Music John Mrecha Owner Damaresi.com
4 months agoYou outdid yourself on this one! Always a pleasure working with the GREATS 🔥🙌
