Instagram story viewer> @gsengotz> Posts
21K
followers
6664
following
๐Ÿ”ป๐—•๐—น๐—ผ๐—ด๐—ด๐—ฒ๐—ฟ,
๐Ÿ”ป๐—๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐˜,
๐Ÿ”ป๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ฑ๐˜‚๐—ฐ๐—ฒ๐—ฟ,
๐Ÿ”ป๐— ๐—–,
๐Ÿ”ป๐—˜๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐—ฟ,
๐Ÿ”ป๐—๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—™๐—บ ๐—ฃ๐—ฅ๐— 
POSTS STORIES REELS TAGGED
๐—ช๐—ฎ๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ต๐˜€..........!! 
.
.
.
.
.

#UsikuMnene
#miketyson 
#usa
#mathematics by @gsengotz
4k
3 years ago
Download
Mhe.Makonda ashauri uongozi wa @pambajijifootballclub kufanya makubaliano na uongozi wa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kuweka taa ili utumika hata wakati wa usiku.

@jembefmtz 
#AhsanteKwaTime
#FamiliaMoja
#10YrsJembefm
#PamojaSana by @gsengotz
128
2 days ago
Download
๐Ÿ“ŒUsisubiri siku ambayo hutakuwa na hofu. Beba hofu zako, kisha fanya yale unayoyaogopa. Ujasiri si kutokuwa na hofu, bali ni kuchukua hatua licha ya hofu. ,,, โœ๐Ÿพ
.
#ZeAndikoz by @gsengotz
5
3 days ago
Download
๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Lewis Koumas, nyota mwenye umri wa miaka 21, amejiunga na rekodi ya kipekee katika historia ya Liverpool kwenye UEFA Champions League!
.
Koumas amekuwa mchezaji wa pili wa Liverpool mwenye umri wa miaka 21 au chini kufanikiwa kufunga bao na kutoa assist (pasi ya mwisho iliyozaa bao) katika mechi moja ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
.
Mchezaji wa kwanza kufanya hivyo alikuwa Steven Gerrard, ambaye alifikia rekodi hiyo Oktoba 2001 dhidi ya Dynamo Kyiv, akiwa na umri wa miaka 21.
.
โšฝ Kutoka kwa nahodha wa kihistoria Gerrard hadi kwa kijana Koumas, Liverpool inaendelea kuonyesha namna vipaji vya vijana vinavyoweza kuacha alama kwenye jukwaa kubwa la soka la Ulaya.
.
Je, Lewis Koumas anaweza kuwa mmoja wa nyota wakubwa wa Liverpool miaka ijayo? Yetu ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ด
.
#LiverpoolFC #LewisKoumas #UCL #YNWA #Anfield by @gsengotz
0
3 days ago
Download
๐Ÿ’ฏUMEPIGAJE hapo.......!!!๐Ÿ˜Ž
.
Generational 10's from Rivaldo to Ronaldinho to Messi and Neymar to Lamine!! #Barca always have good chefs in the kitchen ๐Ÿ’ฏโœ”
.
.
#SportsRipoti by @gsengotz
1
4 days ago
Download
๐Ÿ“Œ Kula sebene ya ki-fulangenge #Vwalla 
.
.
#drivemix 
#NyerereDay by @gsengotz
1
5 days ago
Download
๐Ÿ“Œ๐Ÿ’ฏ ๐—ฉ๐—œ๐—•๐—˜ la Bukombe bado linanivuruga akili..... kichwa kinadunda kama moyo!! tulipata Bonge moja la #surprise
toka kwa @djbonny__mtoto_wa_mama  ilikuwa safi MUNO CC:- @jembenijembe @babajuti  x @kikotifredy by @gsengotz
8
6 days ago
Download
๐Ÿ“Œ Mkurugenzi wa Jembe Group na Ndege Insurance, Dkt. Sebastian Ndege @jembenijembe akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, katika Mkutano Maalum wa Kujadili Maendeleo na Uwekezaji katika Mkoa wa Mara.

Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Hassan Gowelle, ukiwa ni sehemu ya jitihada za kuwakutanisha viongozi na wadau mbalimbali kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji, kuchochea ukuaji wa uchumi na kuweka mikakati ya kuharakisha maendeleo ya Mkoa wa Mara.

Mkutano huo uliandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Komredi Patrick Chandi, tarehe 8 Oktoba 2026, katika Ukumbi wa CMG, Tarime.

Maendeleo yanahitaji maono, ushirikiano na uwekezaji wenye tija. Jembe Group inaendelea kuthamini majukwaa ya majadiliano yanayowaunganisha viongozi na wadau katika kujenga mazingira bora ya maendeleo na fursa za kiuchumi.

๐Ÿ“ฒ FOLLOW US ON SOCIAL MEDIA

๐Ÿ“ธ Instagram: @jembefmtz
๐Ÿ“˜ Facebook: jembefmtz
โŽ X (Twitter): @jembefmtz
๐ŸŽต TikTok: jembefmtz
๐Ÿงต Threads: jembefmtz

#JembeFM #JembeGroup #MaendeleoMara #Uwekezaji #Tarime FursaZaUwekezaji by @gsengotz
1
7 days ago
Download
Kula sebene weweEeee.....!! by @gsengotz
2
7 days ago
Download
๐Ÿ“Œ๐™‡๐™–๐™ ๐™ž๐™ฃ๐™ž ๐™ข๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™–๐™จ๐™ž๐™ ๐™– ๐™ข๐™ฃ๐™ค ๐Ÿคฃke๐Ÿคฃke๐Ÿคฃke ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ Hakuna timu ya kushinda kila siku!! by @gsengotz
2
8 days ago
Download
#HT Simba Sc  0-1 Yanga Sc 
#PartyLaKimyaKimya by @gsengotz
0
8 days ago
Download
WALIMU zaidi ya 2,000 pamoja na mamia ya wananchi wilayani Bukombe, mkoani Geita, wameungana kusherehekea Siku ya Mwalimu Duniani kwa kushiriki mkesha wa burudani uliojaa muziki, dansi na vicheko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki wa Tanzania.
.
Mkesha huo uliofanyika Oktoba 9, 2026, uliwakutanisha walimu kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari wilayani humo, ambao walipata fursa ya kupumzika, kufurahia na kushirikiana nje ya mazingira yao ya kawaida ya kazi.
.
Wasanii waliotoa burudani katika mkesha huo ni pamoja na Juma Nature, Nandy, Chege, 20 Percent na Brother K, ambao walihakikisha walimu na wananchi waliohudhuria wanapata burudani ya kutosha.
.
Tukio hilo ni sehemu ya utaratibu wa kuwakutanisha walimu na kuwawezesha kusherehekea siku yao kwa pamoja, ulioanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Doto Biteko, kwa kushirikiana na wadau wengine kama @jembenijembe , CRDB bank na Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.
.
#SikuYaMwalimuDuniani
#WalimuWetuElimuYetu
@sir_nature ๐Ÿ’ฏโœ” by @gsengotz
0
8 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up