Instagram story viewer> @gsengotz> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mhe.Makonda ashauri uongozi wa @pambajijifootballclub kufanya makubaliano na uongozi wa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kuweka taa ili utumika hata wakati wa usiku.

@jembefmtz 
#AhsanteKwaTime
#FamiliaMoja
#10YrsJembefm
#PamojaSana
131
Familia ya Jembe FM, ikiongozwa na Mkuu wa vipindi Florencia Peter na Mkuu wa watangazaji Albert G Sengo, imeshiriki mazishi ya Dr. Juliana Francis  Ngalula, ambaye ni mama mzazi wa aliyewahi kuwa Mfanyakazi wa Jembe Fm Timotheo Ngalula (@mbabavc), mazishi hayo  yamefanyika leo katika eneo la Igokelo, lililopo Wilaya ya Misungwi Mkoani  Mwanza.

Awali mazishi  yalitanguliwa na ibada ya kuaga mwili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Nyabulogoya-Nyegezi. 

Tunatoa pole za dhati kwa familia kwa mpendwa wetu @mbabavc, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mwenyezi Mungu awajalie upendo, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
24
Usikose kusikiliza kipindi cha #Drivemix kuanzia saa 16:00 Jioni hadi saa 19:00 Jioni @Jembefmtz kupitia masafa ya 93.7 Mwanza na Online kwa kupitia Tovuti ya www.jembenijembe.com ulimwenguni kote  utapata nafasi ya kukifahamu chuo cha @mbeya_university kwa upana. 

Follow Us On Social Media
โ€ŽInstagram - @jembefmtz
โ€ŽFacebook - @jembefmtz
โ€ŽX(Twitter) - @jembefmtz
โ€ŽTikTok - @jembefmtz
โ€ŽThread - @jembefmtz

#AhsanteKwaTime 
#Familiamoja
#10YrsJembefm
โ€Ž
18
back to up