Posted On: July 9th 2026, 07:07 pm
usikubali kwa Upole wako watu wakuchukulie dhaifu, wakati mwingine mfanyie mtu kitu ili wengine wajifunze upande wako wa pili!
Sio kisasi, ila litakuwa ni fundisho kuwa mtu akitaka kucheza na wewe ajue anacheza na nini