7 days agoMwadawa tunaomb mlete msimu wa tatu hatujauona mwisho wa bint msumi,kobisi na mkewe,cholo,na tukae
8 days agoJamn msifanye ivyo abdur na team yako kaeni chini kwamara yapil jamn muongeze japo yatatu😭😭😢 plz
8 days agoDaah sasa inaisha hatujui hatma ya chollo na je venne ile mimba itakuwaje na pia tukae na hiyo biashara ya madawa itakuwaje tunahitaji season 3 plz
