5 days agona Ile ndege ya Mzee Mkapa ambayo Basili Mramba alituambia Bora tule Nyasi ipo wap nayo inaistoria nying sana
5 days agoHUDUMA ZA VISIMA NA MIFUMO YA MAJI 🌊 Kwa mahitaji ya: ✔️ Geo Physical / Hydro Geological Survey ✔️ Uchimbaji wa Kisima (Borehole Drilling) ✔️ Kusafisha Kisima (Borehole Flushing) ✔️ Ukarabati wa Kisima (Borehole Rehabilitation) ✔️ Ufungaji wa Pump (Pump Installation) ✔️ Upimaji wa Wingi wa Maji (Pumping Test) ✔️ Ufungaji wa Bomba (Plumbing Installation and Services) ✔️ Jambo lolote linalohusiana na kisima usisite kuwasiliana nasi 💯 Sisi ni moja kati ya suluhisho bora ya kisima chako na mifumo ya maji 🏡 Ni kwa aina zote za visima vifupi na virefu, na kwa matumizi ya aina zote iwe: Shamba • Nyumbani • Kiwandani • Shule • Mgodini n.k 📞 NB: USHAURI NI BURE Wasiliana nasi: 0653166048
5 days agoKwa mwaka huo 1978 itakuwa ilikua one of the best duniani .. ikumbukwe pia kuwa kabla ya mwaka 1978 kuingia vitani ndio wakati Export za Tanzania zilikua juu ya Imports … ( favorable balance of trade / payments ) … tukiuza sana Mkonge ; Pamba ; Kahawa etc kabla ya Hali ya uchumi wa dunia pia kutuvuruga .. we have to be proud of our country and history
5 days agoWazo zuri. Shida ukiambiwa gharama za kufanikisha zoezi hilo ndio utajua hujui !
5 days agoHii ndege nimeipanda kipindi cha Rais Mkapa mwaka 2000, though wakati naipanda, safari hiyo ilikuwa ya Makamu wa Rais wa wakati huo, Hayati Dr Omar Ali Juma. Ninakumbuka kiti nilichokaa coz nilikuwa namtizama Makamu wa Rais, na ilikuwa safari yangu ya kwanza kwa ndege, tena ndege ya rais. NITAITEMBELEA.
