Instagram story viewer> @dktabbasi> Posts
4185
posts
120.9K
followers
796
following
Former:Chief Government Spokesperson 2016-2021,PS-Information,Arts and Sports 2020-23
Current:PS-Min. of Natural Resources and Tourism From Feb.,2023
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Kabla ya kuruka kwenda kuwawakilisha wasemaji wa michezo Afrika @alikamwe ametia neno kuhusu #NiUtaliiTena Naye anasema atawahi @daressalaamserena Januari 31, 2025.#wehuogopi😂 by @dktabbasi
4
2 years ago
Download
Hajaitwa kwenda kuona draw ya Afcon ila hizo sio shida zake Mzee wa Ubaya Ubwela @ahmedally_ naye ana jambo na #NiUtaliiTena kwa kifupi anasema tukutane @daressalaamserena Januari 31 kuna ubaya ubwela mwingi sana pale🤓 by @dktabbasi
13
2 years ago
Download
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi @dktabbasi amekagua miundombinu ya utalii inayotekelezwa katika Hifadhi ya Pande iliyopo Jijini Dar es Salaam. Miundombinu iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa bwawa la kuogelea lenye viwango vya Olympic, viwanja vya michezo ya mpira wa miguu, mpira wa wavu pamoja na mpira wa tenisi. Miradi hii inayotekelezwa kwa kupitia fedha za Mfuko wa Tozo ya Maendeleo ya Utalii (TDL).Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Abbasi amesema miradi hii ya kimkakati inayotekelezwa ni miongoni mwa maandalizi yanayotekelezwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kuelekea mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika mnamo mwaka 2027.Dkt. Abbasi amesisitiza usimamizi makini wa miradi inayotekelezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na kukamilishwa kwa wakati ili kuepusha ucheleweshaji na kuongeza ufanisi wa matumizi ya fedha.Kwa upande wake, Kamanda wa Uhifadhi wa Pori la Akiba Pande, Maajabu Juma Mbogo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo itafungua fursa za kiutalii, Mapato na kuongeza idadi ya watalii katika hifadhi ya Pande. by @dktabbasi
10
2 days ago
Download
Tanzania in the @unesco world heritage committee!@ashatukijaji @wizarayamaliasilinautalii by @dktabbasi
1
2 days ago
Download
Leo Julai 23, 2026, katika muendelezo wa utumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimetembelea Pori la Akiba la Pande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na kukagua maendeleo ya miradi ya kuboresha miundombinu na huduma za utalii inayotekelezwa katika eneo hilo.Miradi inayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa bwawa la kuogelea (swimming pool), bwawa la watoto (Kids Playing Pool), uwanja mdogo wa mpira wa miguu na uwanja wa beach volleyball na tenisi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kupokea wageni na mashabiki watakaopenda kubarizi kabla, wakati na baada ya AFCON 2027. Nimesisitiza miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyotarajiwa ili kuhakikisha wageni watakaofika nchini wanapata fursa ya kutembelea na kufurahia vivutio vya utalii vilivyopo Pori la Akiba la Pande.Pamoja na wanyama mbalimbali wa porini wakiwemo simba, twiga, swala, pundamilia, nyumbu na ndege mbalimbali eneo hilo pia ni pafu jingine la jiji la Dar likiwa na hali safi ya hewa kutokana na misitu na miti ya asili murua kwa kuweka kambi, kuona wanyama na kufanya matukio mbalimbali ya kijamii. by @dktabbasi
5
2 days ago
Download
🇹🇿 Destination Tanzania is a global campaign launched during the 2026 FIFA World Cup to position Tanzania as a must-visit destination ahead of AFCON 2027.From Mount Kilimanjaro and the Serengeti to Zanzibar’s beaches, the campaign highlights the country’s culture, landscapes, and hospitality to a global audience.Would you visit Tanzania for AFCON 2027?@destinationtanzania_ @johnjackson_jj @dktabbasi @gussasportsagency by @dktabbasi
346
3 days ago
Download
What better way to end the World Cup session than this? We officially invited the G.O.A.T., @ronaldo, to experience AFCON 2027 in Tanzania. 🇹🇿⚽@wizarayamaliasilinautalii @destinationtanzania_ by @dktabbasi
77
5 days ago
Download
Ulikuwa wakati wenye tafakuri nyingi leo Jumatatu, Julai 20, 2026, jijini Dar es Salaam nilipotembelea Makumbusho ya Taifa na kujionea usimikaji wa Ndege yetu aina ya Fokker F28-3000 (Charlie Charlie Mike), ndege ambayo ilitumiwa na marais wetu kuanzia mwaka 1978 ikiwa ni Awamu ya kwanza ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mpaka mwaka 2018 katika Awamu ya Tano ya utawala wa nchi yetu chini ya Dkt. John Pombe Magufuli ilipohamishiwa katika majukumu mengine. Ndege hii ambayo unaweza kuitembelea pale Makaumbusho ya Taifa, Dar es Salaam, sasa imehifadhiwa ili kuenzi mchango wake usiomithilika katika ukombozi wa Bara la Afrika, alama ya miaka 40 ya utekelezaji wa diplomasia yetu ya nchi ikisafiri kote duniani lakini ikiwa ni ushahidi na mwanga wa matumaini uliowaangazia viongozi wetu kila kona ya nchi hii na kufika mikoani katika kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea wananchi maendeleo. Fokker 28 ni alama ya sisi ni nani, tumetoka wapi, tunakwenda wapi; na ni alama ya Afrika, Tanzania na uongozi wetu. Karibu uone alipokuwa anakaa Mwalimu Nyerere, kiti cha maamuzi alichomrithisha Mzee Mwinyi Mkapa, Mzee Kikwete na baadaye Mzee Magufuli na namna viongozi wetu walivyofanya maamuzi mengi juu ya ndege hii ya matumaini. Fokker 28 5H Ni urithi wetu! Ni Sisi! by @dktabbasi
32
5 days ago
Download
Kikao muhimu na murua leo jijini Dodoma na Kamishna Mkuu mpya wa Uhifadhi wa Shirika letu la Hifadhi za Taifa (Tanapa), CC Massana Mwishawa. Nimemtakia kila pa kheri anapoanza majukumu yake katika taasisi hiyo muhimu na ya kimkakati kwa Taifa. by @dktabbasi
7
8 days ago
Download
Kikao kizuri na cha kimkakati leo jijini Dodoma na Bw. Jens Brüggemann, Mkurugenzi wa Miradi, Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo ya Ujerumani (GIZ Tanzania), kuhusu uhifadhi na uendelevu wa miradi ya ubia ya maendeleo katika sekta ya wanyamapori baina ya nchi zetu mbili. by @dktabbasi
2
10 days ago
Download
Its happening in the Serengeti: Come to watch the only world’s spectacular and tantalising wildebeest migration @serengeti_national_park by @dktabbasi
17
11 days ago
Download
*Serengeti’s iconic Mara River Crossing No. 4: Watch nature’s greatest journey unfold*Every crossing has its own story,but Crossing Point No. 4 has earned its reputation as one of the Mara River’s most iconic and celebrated crossing sites.Its steep riverbanks transform every crossing into a breathtaking spectacle as thousands of wildebeest descend one side and climb the other in an extraordinary display of strength and determination. The natural terrain also provides outstanding viewing opportunities, allowing visitors to witness the drama from an excellent vantage point.As this video shows, the best wildlife experiences happen when visitors give animals the space they need. By keeping a respectful distance and allowing the herds to cross without interference, we not only witness nature at its finest, we help protect one of the world’s greatest wildlife migrations.Enjoy the spectacle. Respect the journey.#Serengeti #GreatMigration #MaraRiver #RiverCrossing #TANPAGoApp VisitTanzania ResponsibleTourism AFCON2027 by @dktabbasi
5
11 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up