Posted On: July 21st 2026, 08:49 am
Siku iyo ya tarehe 23 mwezi huu yani Alhamisi hii si yakukosa kabisa kwasababu wakali na watu mashuhuli wote tunakutana pale
@tiptop_pub kwenye tukio zima la
@internationalgang255 kumtambulisha msanii wetu wa kike kwa mara ya kwanza sasa we unakosaje kama mtu mashuhuli mkali kabisa
@reycakimdoll nae atajuwepo siku iyo wewe unasubili nini??!!! Njoo mapema sana