Instagram story viewer> @sajodtravis> Post
3 months ago
Co Creator: sajomedia
297
Posted On: July 22nd 2026, 03:26 pm
Tagged Users:
Alikiba ni moja ya mastaa ambao wapo kwenye listi ya Muigizaji Jacqueline Wolper kama Ex ambaye wamewahi kuwa kwenye mahusiano miaka mingi iliyopita kabla ya huu umaarufu walionao leo.

Licha ya miaka mingi kupita bado Jack anaamini kuna vitu kwa Alikiba akivikumbuka vinamuumiza lakini sio kwa Harmonize, hakuna kinacho muumiza.

Alikiba ni Celebrity ambaye watu ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano hawajawahi muongelea vibaya public na mara nyingi wanaonyeaha kummiss.

Kwa Rajab😁🙌🚶
Comments (297)
jolicegeorgewa 2 months ago

jolicegeorgewa

😂😂😂

aishathe.boss 2 months ago

aishathe.boss

😮😮😮

ziana9649 2 months ago

ziana9649

Wolpa muongo ww si ulikuwa unaojiwa unalia ulivyoachana na konde boy mbn ulivurugwa

rajhamsalaam_tz 2 months ago

rajhamsalaam_tz

Ooooh Rajbu al. Kiiiba KIBA

adesia196 2 months ago

adesia196

Waharibifu wa maadili

prosperleonard2026 2 months ago

prosperleonard2026

Ulimuibia pesa bank zote 🙌🙌😂 una mana .

sh_ani8694 2 months ago

sh_ani8694

Mnazingukana kama maumbwa

africanbeautiful_ 2 months ago
africanbeautiful_ 2 months ago
party_pancras 2 months ago

party_pancras

@hollocakes

lisathebosslady_3 2 months ago

lisathebosslady_3

Uwoya 😂 Aaaeeeaaeeee!!!! 😀

eva552089 2 months ago

eva552089

nimerudia mara kumi😁😁

yona_magari_tz 3 months ago

yona_magari_tz

Sukali ya warembo

rukia27928 3 months ago

rukia27928

Irene alivyo shtuka kama kiba hajamla😂😂😂😂 tunajua

mlay1085 3 months ago

mlay1085

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Load More

More posts

back to up