Instagram story viewer> @sajodtravis> Posts
40.6K
followers
0
following
FOR CROSSPOSTING
UDSM ALUMNI 👨‍🎓
DIGITAL CONTENTS EXPERT
POSTS STORIES REELS TAGGED
😂😂😂😂😂😂 by @sajodtravis
2k
a year ago
Download
Jude Okoye, kaka mkubwa wa mapacha waliokuwa wakiunda kundi la P Square, Peter na Paul Okoye na ambaye alikuwa meneja wao, yupo kizuizini kutokana na kesi inayomkabili ya utakatishaji wa pesa kiasi cha Naira Bilioni 1.38 zaidi ya Bilioni 2.40 Tsh.

Kwenye Barua ya wazi ambayo Peter aliiweka mitandaoni mwezi Agosti, 2024 alidai alibaini Kaka yake Jude ana kampuni ya siri inayoitwa Northside Music ambayo wamiliki ni yeye (Jude) na mkewe, wakati wao walikuwa na kampuni inayoitwa Northside Entertainment na ndio iliyokuwa ikisimamia mambo yote yanayo husiana na P Square.

Peter alidai baada ya kuendelea kuchunguza akabaini kampuni hiyo ya Siri inachota pesa kutoka kwenye kampuni rasmi ya Northside Ent. kwa miaka mingi na akabaini miamala mingi inaenda kwa Paul bila yeye (Peter) kujua. Alipojaribu kumshirikisha ndugu yake, Paul hakukuwa na ushirikiano na akamtamkia kama anataka kwenda kushtaki aende.

Peter alifungua kesi na Jude alikiri kuchota pesa kimya kimya kutoka kwenye kampuni ya mapacha hao lakini pia ile miamala aliyokuwa akituma kwa Paul haikuwa ni Share bali malipo ya deni alilokuwa akidaiwa na Paul.

Hasa siku ya leo, kesi ya Jude ilikuwa ikisikilizwa na kwenye mahojiano na waandishi wa Habari, Paul alidai vitaandikwa vingi lakini aliyemuweka ndani kaka yao ni Peter na yeye anapambana kuhakikisha kaka yao anatoka.

Jude karudi ndani kutokana na masharti ya dhamana kutokamilika na kesi yake itasomwa tena April 14. by @sajodtravis
298
2 years ago
Download
Hiyo lini hiyo, hiyo leo hiyo mtoto wa kiume kaitwa Dada🤣🤣 by @sajodtravis
1
13 minutes ago
Download
 by @sajodtravis
5
an hour ago
Download
Diamond mtu poa sana, na hapa ndio utagundua kwanini watu wengi wanamshauri apunguze machawa, sababu wanatengeneza picha mbaya sana kwenye career yake.

Yani Dada Suma anafanya vitu ambavyo Baba Levo hakuwahi kuvifanya🤣🙌 by @sajodtravis
0
3 hours ago
Download
Mtaitwa sana DADA, mkiendelea kufitinisha watu, game ilipofikia haihitaji huo ujinga wa kuitwa Beef, kila mtu ana ramani yake ya wapi anataka kwenda.

Diamond anajaribu kutaka game iwe na Love, nyie mnataka kukwamisha hatua... ndio maana ni rahisi sana kuonekana mmetumwa. by @sajodtravis
21
6 hours ago
Download
 by @sajodtravis
14
7 hours ago
Download
Hapa ni Davido na Wizkid katikati ya kushindanishwa kwao wakabutua show moja pamoja, chips kama zote, sijui Mashabiki wa Diamond,  roho mbaya aliwapa nani?? Ujinga ujinga tu.

Mashabiki wa WCB mnanikumbusha yule kocha wa Yanga, Luc Aymael aliyewaambia mashabiki wa timu hiyo ni kama manyani (hawajielewi). by @sajodtravis
2
8 hours ago
Download
Sijui kama nitakuwa nimetumia maneno makali kidogo lakini nahisi hiki ni stahiki yenu, sijui ushamba, sijui ujinga au chuki, nyie wasanii waliokuwa WCB wanapokuwa pamoja na wasanii wengine hasa Alikiba, basi ni ni maneno ya kijinga tu, mara binadamu hawana shukurani, mara wameungana dhidi ya Diamond,  mara tenda wema nenda zako, kha! Mpaka unajiuliza hawa watu zimo kweli?

Yani ni kama wasanii hawana maisha mengine nje ya muziki, ni kama wasanii wa WCB walipewa onyo la kutoshirikiana na wasanii wengine huko nje, ujinga tu. Yani sehemu ambayo hadi Makamu wa Rais yupo, Waziri mwenye dhamana ya michezo yupo, wanatokea wajinga wanakwambia DIAMOND UWEZI MKUTA MAENEO KAMA HAYA, KWELI DIAMOND NI INTERNATIONAL 🤣

Unacheka na ujiuliza mara ngapi Diamond katokea party za kawaida? Mara ngapi Diamond kazurura huko Kidimbwi? Unaenda chukua video ya mwaka elfu 9 mia na kenda huko akiwa na Davido, na ndani kuna Marehemu, lengo tu apambwe kuwa level zake ni hizi, hey meen stop these nonsenses. Acheni wasanii waishi maisha yao.

Yani kila watu wanapokutana, nyie ni kuhisi wanafikiria tu kushindana. Mbona Diamond ana roho safi, ila mashabiki zake maibilisi. Acheni watu waishi maisha yao.

We tukisema kila mtu aliyekufanyia wema akuhesabie, utatoboa? Chuki, chuki chuki tu, Davido na Wizkid ni washindani na mashabiki zao wanapigana vikumbo kweli, lakini wamewahi share stage moja, na linapokuja suala la umoja, wenzetu hawana hiii mentality mlinayo mashabiki wa Diamond. Mmezidi aisee. by @sajodtravis
33
10 hours ago
Download
Picha aliyopost Kajala kupitia Snap Story yake, imeleta maswali na kufanya watu waamini amerudiana na Harmonize au hawakuachana kabisa.

Kajala amepost mwanaume na kuliweka kopa likionyesha yupo penzini, lakini maswali yameibuka kupitia nguo ya mwanaume aliyepostiwa, ni nguo iliyovaliwa na au yenye mfanano na nguo Harmonize🤣

#harmonize #kajala #kajalamasanja #viral #zanzibar by @sajodtravis
98
a day ago
Download
🤣🤣🤣🤣 Dunia simama nishuke by @sajodtravis
2
3 days ago
Download
Wanetu wanazibonda tu hadharani by @sajodtravis
14
3 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up