Instagram story viewer> @sajodtravis> Tagged
POSTS STORIES REELS TAGGED
Mtaitwa sana DADA, mkiendelea kufitinisha watu, game ilipofikia haihitaji huo ujinga wa kuitwa Beef, kila mtu ana ramani yake ya wapi anataka kwenda.

Diamond anajaribu kutaka game iwe na Love, nyie mnataka kukwamisha hatua... ndio maana ni rahisi sana kuonekana mmetumwa.
40
34
Sijui kama nitakuwa nimetumia maneno makali kidogo lakini nahisi hiki ni stahiki yenu, sijui ushamba, sijui ujinga au chuki, nyie wasanii waliokuwa WCB wanapokuwa pamoja na wasanii wengine hasa Alikiba, basi ni ni maneno ya kijinga tu, mara binadamu hawana shukurani, mara wameungana dhidi ya Diamond,  mara tenda wema nenda zako, kha! Mpaka unajiuliza hawa watu zimo kweli?

Yani ni kama wasanii hawana maisha mengine nje ya muziki, ni kama wasanii wa WCB walipewa onyo la kutoshirikiana na wasanii wengine huko nje, ujinga tu. Yani sehemu ambayo hadi Makamu wa Rais yupo, Waziri mwenye dhamana ya michezo yupo, wanatokea wajinga wanakwambia DIAMOND UWEZI MKUTA MAENEO KAMA HAYA, KWELI DIAMOND NI INTERNATIONAL 🤣

Unacheka na ujiuliza mara ngapi Diamond katokea party za kawaida? Mara ngapi Diamond kazurura huko Kidimbwi? Unaenda chukua video ya mwaka elfu 9 mia na kenda huko akiwa na Davido, na ndani kuna Marehemu, lengo tu apambwe kuwa level zake ni hizi, hey meen stop these nonsenses. Acheni wasanii waishi maisha yao.

Yani kila watu wanapokutana, nyie ni kuhisi wanafikiria tu kushindana. Mbona Diamond ana roho safi, ila mashabiki zake maibilisi. Acheni watu waishi maisha yao.

We tukisema kila mtu aliyekufanyia wema akuhesabie, utatoboa? Chuki, chuki chuki tu, Davido na Wizkid ni washindani na mashabiki zao wanapigana vikumbo kweli, lakini wamewahi share stage moja, na linapokuja suala la umoja, wenzetu hawana hiii mentality mlinayo mashabiki wa Diamond. Mmezidi aisee.
49
Wanetu wanazibonda tu hadharani
14
back to up