Posted On: October 19th 2026, 05:04 pm
Diamond mtu poa sana, na hapa ndio utagundua kwanini watu wengi wanamshauri apunguze machawa, sababu wanatengeneza picha mbaya sana kwenye career yake.
Yani Dada Suma anafanya vitu ambavyo Baba Levo hakuwahi kuvifanya🤣🙌