Instagram story viewer> @chingahapa> Post
2 days ago
Co Creator: cholo_kobisi melania_msumule
28
Posted On: July 23rd 2026, 07:07 am
Maneno hayatoshi kueleza jinis gani mmenipokea vizuri Chinga katika ulimwengu huu wa kutengeneza maudhui yani content creation,nawashukuru wote ambao mmemkuwa mkinipa support kwa kulike,kushare,kucomment na hata kwa kutoa oda kwenye bidhaa za Chinga mpaka kunifikisha hapa kwa kupata followers zaidi ya 10k+.

Natangulisha shukrani zangu za dhati na kuomba mzidi kunisupport kwenye harakati zangu 🙏

Licha ya kuingia 10k+ lakini bado walimwengu wanaendelea kuniliza bidhaa zangu mtaani 🥹 Haya tuendelee kumsupport Chinga.
📞0653470236
📍Kariakoo msimbazi
Comments (28)
namweteboy 2 hours ago

namweteboy

vile bure vinaenda

uchumiwapili_ebook 3 hours ago

uchumiwapili_ebook

KUPITIA KITABU HIKI UTAJIFUNZA; 1: Affiliate Marketing 2: Digital Marketing 3: Biashara unazoweza kuanza na mtaji mdogo au bila mtaji kabisa 4: Utapata Machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla (Kariakoo) 5: Taasisi zinazotoa mikopo kwa vijana wabunifu na wenye idea mbalimbali za biashara. 6: Remote task nk.. NB: Kitabu hiki kinafundisha hatua kwa hatua hakuna kitu kimefichwa humu. Ulimwengu wa sasa unatutaka tuwekeze zaidi katika maarifa

kis.roja 6 hours ago

kis.roja

😂😂😂

kis.roja 8 hours ago

kis.roja

😂😂😂

jay_jonce12 13 hours ago

jay_jonce12

Babaaaa🔥🔥🙌🙌🙌

g_wellnes_haven a day ago

g_wellnes_haven

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Zac sound bar hiyo nibalaaaaa🙌🙌

ndevunyingi a day ago

ndevunyingi

aaaaaa

tecnoafrircna a day ago

tecnoafrircna

miss tanzania

ima39530 a day ago

ima39530

Nimependa

jacklineandrewkabogo a day ago

jacklineandrewkabogo

kajitume😂😂😂😂uwiiiii ndo shemeji yang nimecheka sana

lameck2004 2 days ago

lameck2004

Umenuna

hkizo9693 2 days ago

hkizo9693

🔥🔥🔥

_ms_wendu 2 days ago

_ms_wendu

Chingaa🔥🔥

tiffahbrave 2 days ago

tiffahbrave

@melania_msumule ni mvivu sana 😂😂😂

minyama_uzembe 2 days ago

minyama_uzembe

Huo mbusu sasa unakilo 800😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Load More

More posts

back to up