Instagram story viewer> @chingahapa> Posts
297
posts
10.6K
followers
340
following
📍 Kariakoo | Electronics Deals
📦 Friji, TV, Subwoofer kwa bei nzuri
🚚 Nunua kwangu, niache kuzurura hovyo hovyo
📲 Order WhatsApp hapa👇
+255 653 470236
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Sina Gucci,Prada wala Fendi ila anko @chino_kidd7 kaamua kunibless na fashion yangu hii hii ya suti nyekundu kwa yebo, kila mtu atambe na fashion yake 🔥🔥 by @chingahapa
72
11 days ago
Download
Chinga msosi umemponza Harakati za uchinga zimefika hadi barazani kwa watu mwisho wa siku chinga kapukutishwa kabisa😂📞 0653470236📍Kariakoo msimbazi KKKT#chinghapa #mzururajihovyohovyo by @chingahapa
258
2 months ago
Download
Hii ya leo kali,Chinga anasahau kabisa kwamba hakuna mafanikio rahisi na kujikuta anaingia kwenye mtego wa walaghai kwa kushawishika kuupata utajiri harakaharaka.Hii ndo wanaiita “mjini shule”,haya simu ziite kwa Chinga tuone tunarudisha vipi hasara tulizoingia.📞0653470236📍Kariakoo Msimbazi KkktPs:Mahudhui haya hayasupport aina yoyote ya michezo ya kubashiri. by @chingahapa
103
2 months ago
Download
Maneno hayatoshi kueleza jinis gani mmenipokea vizuri Chinga katika ulimwengu huu wa kutengeneza maudhui yani content creation,nawashukuru wote ambao mmemkuwa mkinipa support kwa kulike,kushare,kucomment na hata kwa kutoa oda kwenye bidhaa za Chinga mpaka kunifikisha hapa kwa kupata followers zaidi ya 10k+.Natangulisha shukrani zangu za dhati na kuomba mzidi kunisupport kwenye harakati zangu 🙏Licha ya kuingia 10k+ lakini bado walimwengu wanaendelea kuniliza bidhaa zangu mtaani 🥹 Haya tuendelee kumsupport Chinga.📞0653470236📍Kariakoo msimbazi by @chingahapa
37
3 days ago
Download
Hivi unajua kwamba pweza wana mioyo mitatu na damu ya bluu ? Na pia hawana mifupa kabisa, kwa hiyo wanaweza kupita kwenye tundu dogo kuliko jicho lao !!@melania_msumule @chingahapa @julofilms by @chingahapa
7
3 days ago
Download
Kwa mtazamo wako unaamini Messi ni goat au sio goat? Je,atatushangaza kwenye fainali au ni mbeleko za FIFA? 😅Chinga nae goat?📞0653470236📍Kariakoo Kkkt by @chingahapa
30
9 days ago
Download
Hii challenge ya leo ilibaki kidogo niusahau mdundo wangu location,speaker zenye mdundo mkubwa bado ziko kwa Chinga📞0653470236📍Kariakoo Kkkt by @chingahapa
29
16 days ago
Download
TUTOE SADAKA JAMANI 😊Hawezi kuchukia 😂😂😂#pengomakeke #ComedySkits #FunnyVideo#LaughOutLoud#RelatableComedySketchComedyComedianLifeLOLmoments by @chingahapa
58
22 days ago
Download
Messi (GOAT) @ankonzalasimba anajua kututesa kombe la dunia hili, Chinga na ujanja wake wote kazi imekuwa ngumu kwake na kumuhofia😂📞0653470236📍Kariakoo KKKT by @chingahapa
27
25 days ago
Download
Chinga na msimu wa kombe la dunia😆unahisi chinga anaweza akawa timu gani msimu huu wa kombe la dunia?Au aje kama refa?📞0653470236📍Kariakoo Magila karibu na kkkt by @chingahapa
40
a month ago
Download
Leo chinga kidogo nijiponze baada ya kukumbilia kigoma cha mtaani kwenye pirika zangu,kumbe zilikuwa shengesha za watu wa marejesho.Kweli Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua,kwenye shengesha hukohuko nikakutana na watu niliokuwa nawadai na tukamalizana kiroho safi.📞0653470236📍Kariakoo Msimbazi Kkkt by @chingahapa
40
a month ago
Download
Kama ilivyo kawaida ya Chinga katika harakati zake mtaani za kuhakikisha wateja wake wanapata bidhaa zao mtaani bila shida,leo vishandu wakataka kupita na bidhaa ya Chinga lakini akawaungia mpaka mwisho.Vishandu wakamtolea sana namba Chinga lakini maongezi yanakuja kuamuliwa ulingoni kwamba ni lazima Chinga aipambanie bidhaa yake la sivyo haipati.Hatimae Chinga anaipambania bidhaa yake,na kuiacha mitaa midomo wazi.📞0653470236📍Kariakoo Msimbazi by @chingahapa
48
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up