Instagram story viewer> @mshamba_media> Post
2 days ago
Co Creator: ifm_best_icons cenny_swaggy _kamzigo hamy_digital
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa C.E.O. Mungu akuweke na akitangulie katika kila hatua yako kwa maana umetuonyesha ukomavu wa kuwa kiongozi,si kwa kujivuna wala kujikweza bali kujishusha na kuwa mdogo kwa kila mtu, haijalishi ni changamoto kiasi gani ambazo umepitia lakini haukuwahi kukata tamaa hii ni maana halisi ya jasiri, mungu akubariki madanikio mema katika kila jambo ambalo utalifanya kwa mapenzi yake na akufikishe kule unapopatamani,akufanye bora siku zote kwa ajili yetu sisi tunaokutizama kama kioo.

Tambua kwamba nyuma yako kuna watu wengi sana ambao wanajifunza kutoka kwako,haijalishi kiasi cha umri ulichokuwa nacho lakin uelewa,maarifa, havifanani kabisa na umri wako ,umetuonyesha kuwa kumbe kila kitu kinawezekana. HAPPY REBORN @cenny_swaggy πŸ’ͺπŸΎπŸŽ‚
10
Posted On: July 23rd 2026, 09:58 pm

Comments (10)
qau_tz 13 hours ago

qau_tz

Happy birthday brother mungu akufanyie wepesi kila jambo 🫑🫑

talino_4.1 2 days ago

talino_4.1

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯enjoy

cenny_swaggy 2 days ago

cenny_swaggy

πŸ‘πŸ‘

abrahamdenis07 2 days ago

abrahamdenis07

A lot to do with mshamba πŸ™Œ

_kamzigo 2 days ago

_kamzigo

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ‚

quietlyfine.smile 2 days ago

quietlyfine.smile

Ceo himself πŸ”₯πŸ”₯

mshamba_media 2 days ago

mshamba_media

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

More posts

back to up