Instagram story viewer> @_kamzigo> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Ujio mpya wa @iamkamzigo.pro  mara baada ya kupoteza page kubwa ya mwanzo 
Naomba msinichoke ndugu zangu nguvu mpya kasi kali zaidi security kubwa zaidi na ujuzi mkubwa zaidi 
Your support means alot for us. Lets go🔥 @iamkamzigo.pro 
@iamkamzigo.pro 
@iamkamzigo.pro 
@_kamzigo 
#iamkamzigo.pro by @_kamzigo
25
25 days ago
Download
Hii ni nomaa😂😂
#foryou #viralreel #fy #fypageシ゚ #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp by @_kamzigo
2
12 hours ago
Download
Nalilia utamu wangu siezi kubali by @_kamzigo
0
18 hours ago
Download
Nchini El Salvador, watu 486 wamefikishwa mahakamani kwa wakati mmoja tangu Aprili 20, wakituhumiwa kuwa wanachama wa genge la Mara Salvatrucha (MS-13).

Kwa pamoja wanakabiliwa na takriban mashtaka 47,000 yanayohusiana na uhalifu uliotendwa kati ya mwaka 2012 na 2022, ukiwemo takriban mauaji 29,000. Hii inaashiria kesi ya pamoja yenye ukubwa na wigo ambao haujawahi kushuhudiwa. by @_kamzigo
0
18 hours ago
Download
Tazama jinsi china walivokuja na design mpya ya ndege by @_kamzigo
0
18 hours ago
Download
Angalia jina lako herufi yakwanza tuambie unafaa kuoa au kuolewa inchi gani #university #kametaah #❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ #tanzania #❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ by @_kamzigo
58
20 hours ago
Download
Soft heart, no compromises💙 by @_kamzigo
28
21 hours ago
Download
No revenge just let us move silent❤️‍🔥🔒 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @_kamzigo
7
a day ago
Download
😹😹 taken in Dar es Salaam, Tanzania by @_kamzigo
18
2 days ago
Download
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa C.E.O. Mungu akuweke na akitangulie katika kila hatua yako kwa maana umetuonyesha ukomavu wa kuwa kiongozi,si kwa kujivuna wala kujikweza bali kujishusha na kuwa mdogo kwa kila mtu, haijalishi ni changamoto kiasi gani ambazo umepitia lakini haukuwahi kukata tamaa hii ni maana halisi ya jasiri, mungu akubariki madanikio mema katika kila jambo ambalo utalifanya kwa mapenzi yake na akufikishe kule unapopatamani,akufanye bora siku zote kwa ajili yetu sisi tunaokutizama kama kioo.

Tambua kwamba nyuma yako kuna watu wengi sana ambao wanajifunza kutoka kwako,haijalishi kiasi cha umri ulichokuwa nacho lakin uelewa,maarifa, havifanani kabisa na umri wako ,umetuonyesha kuwa kumbe kila kitu kinawezekana. HAPPY REBORN @cenny_swaggy 💪🏾🎂 by @_kamzigo
10
2 days ago
Download
Picha ya miaka 19 iliyopita kati ya mshindi wa kombe la Dunia mwaka huu na mshindi wa pili wa world cup 2026.

#world2026 #tbt #messi #lamineyamal #mwishowaomwanzowetu taken in Tanzania, Africa by @_kamzigo
0
3 days ago
Download
Anapenda kuwa single kuliko mahusiano.
#foryou #viralreel #fy #fypageシ゚ #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp by @_kamzigo
5
3 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up