Posted On: July 24th 2026, 11:20 pm
Mkuu wa Vipindi Planet Fm
@wardaplanetfm akizungumza mara baada ya mchezo wa nusu fainali ya pili kumalizika na kushuhudia Chaka Bovu wakitinga hatua ya fainali maandalizi kuelekea tarehe 31 katika mchezo wa fainali.
#planetsportssupercup2026