Instagram story viewer> @planetfmtz> Posts
17631
posts
29.7K
followers
267
following
87.5 Moro•Tanga• Pwani | 91.5 Moshi,kilimanjaro
99.7 Mwanza• Geita | 106.5 Iringa
Sikiliza Live ↓
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Tukutane fainali ya Planet Sports Super Cup kati ya Mawenzi Chama la Wana dhidi ya Chaka Bovu katika Uwanja wa Saba Saba Siku ya ijumaa tarehe 31 kwa Kiingilio cha Buku 2 tu.K/ndege dabi#planetsportssupercup2026 by @planetfmtz
3
10 hours ago
Download
Tuambie unahisi nini kinakuja kwa watu wa morogoro mjini? Upo tayari? by @planetfmtz
13
22 days ago
Download
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amemtembelea na kumjulia hali Mdau wa muziki na mlezi wa vipaji, Mkubwa Fella, nyumbani kwake, ambapo alimkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.Majaliwa pia alifanya naye mazoezi mepesi ya viungo na kupata fursa ya kufanya mazungumzo marefu kuhusu mchango mkubwa wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu tasnia ya sanaa.Aidha, Majaliwa ameahidi kuendelea kumtembelea Mkubwa Fella mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya afya yake na kumpa faraja. by @planetfmtz
2
3 hours ago
Download
Wananchi wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha yao.Katika ziara yake ya kikazi, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amekagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa soko na stendi ya kisasa ya Ushirombo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 22, mradi wa maji wa Businda–Buntubili utakaowanufaisha wananchi 9,949, pamoja na ujenzi wa barabara, kituo cha polisi na zahanati katika eneo la machimbo ya Msasa.Aidha, wachimbaji wadogo wa Bukombe wamemshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki ya uchimbaji na ugawaji wa leseni za madini, huku Serikali ikisisitiza utekelezaji wa miradi kwa wakati ili wananchi waanze kunufaika na huduma zinazotarajiwa. by @planetfmtz
0
4 hours ago
Download
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame @jabiri_makame ameagiza kuundwa timu ya Uchunguzi kufuatia malalamiko yaliyotolewa na wananchi wa Kata ya Mwambani, Wilayani Songwe wakimtuhumu Diwani wa Kata hiyo, Wenyeviti wa Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji kujihusisha na uporaji na uuzaji wa ardhi wananchi. Maagizo hayo amaeyatoa wakati wa Ziara yake ya Serikali Nyumbani kwao alipofanya katika Wilaya ya Songwe kwa lengo la kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua kero za wananchi.‎ by @planetfmtz
0
5 hours ago
Download
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka mkuki na ngao katika Mnara wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali, Mtumba, jijini Dodoma, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa 2026.Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuwakumbuka, kuwaheshimu na kutambua mchango wa mashujaa waliopigania uhuru, umoja, amani na maendeleo ya Tanzania. by @planetfmtz
1
6 hours ago
Download
Brigedia Jenerali Mstaafu, Paul Mwakalambile ameweka shoka kwenye mnara wa mashujaa, akiwawakilisha askari waliopigana kwenye Vita ya Kagera.Sikiliza wasifu wake ukisomwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika leo jijini Dodoma. by @planetfmtz
2
6 hours ago
Download
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye Kumbukumhu ya Mashujaa jijini Dodoma.@samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano by @planetfmtz
4
7 hours ago
Download
Simba wamemtambulisha winga wa Sekhukhune United,Raia wa South Africa,Keletso Makgalwa (29). by @planetfmtz
0
7 hours ago
Download
Mkuu wa Vipindi Planet Fm @wardaplanetfm akizungumza mara baada ya mchezo wa nusu fainali ya pili kumalizika na kushuhudia Chaka Bovu wakitinga hatua ya fainali maandalizi kuelekea tarehe 31 katika mchezo wa fainali.#planetsportssupercup2026 by @planetfmtz
5
18 hours ago
Download
Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha Albert Kangwanda kuelekea msimu ujao. by @planetfmtz
0
21 hours ago
Download
Klabu ya Yanga Sc imekamilishwa usajili wa mshambuliaji Cheikh Ibrahima Toure by @planetfmtz
1
21 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up