4 hours agoNaomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia kampuni ya EROLINK LIMITED ambaye pia anafanya kazi na DSTV. Kwa kipindi chote tulichofanya kazi, mwajiri wetu hakuwasilisha michango yetu ya NSSF, na licha ya mkataba wake na TANESCO kumalizika, bado hajatekeleza wajibu huo. Tumefuatilia mara kadhaa bila kupata ushirikiano wa kuridhisha. Wengi wetu kwa sasa hatuna ajira, tuna familia zinazotutegemea, na maisha yamekuwa magumu. Haya ni mafao yetu ya halali ambayo tunastahili kuyapata. Tunazitaka mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuhakikisha tunapata haki yetu. Tunaamini msaada wao unaweza kuwa mwanzo wa suluhisho kwa vijana, akina mama na akina baba wengi wanaoathirika na tatizo hili.

5 hours agoNiko sheli apa, na scrol nimeona tangazo. Namuulix muhudum ata hajui ilo kombe ase! 😂
5 hours ago● JENGA NASI MASHIMO YA VYOO VYA KISASA KWA BEI NZURI SANAA KWA BEI NZURI SANAA ● MIKOA YOTE TUTAKUFIKIA ULIPO
5 hours agoOne painful truth about life... Some people only support your dreams... As long as they remain dreams. The moment they become reality... Their attitude changes.
5 hours agowatu wangu wa mwanza na lake zone yote, unamjengo Wako umemaliza ujenzi au tayari Mnaishi ila unaitaji ule usafi deep cleaning kabisa, basi msisite kabisa kutucheck.
5 hours agoJe, unataka kuonekana kijanja zaidi. Njoo nikupatie miwani ambayo unaweza kusikiliza mziki. Kupiga kicha na kuchukua video vyote kwa kifaa kimoja , Ai smart glasses , bei kitonga saaana .