Posted On: July 25th 2026, 12:48 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Mashujaa, uliopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 25 Julai, 2026.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Load More