Instagram story viewer> @eastafricatv> Posts
89410
posts
2.2M
followers
1
following
Official EastAfricaTV Instagram.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
#ADKaribu BONANZA STAR LODGE – mahali pa utulivu, usalama na huduma bora.📍 Tunapatikana Buyuni, Chanika Pumzika kwa amani na ufurahie huduma zetu za kipekee:☕ Chai BURE🛏️ Vyumba safi, salama na vya kisasa kwa mapumziko yako.Baada ya hapo, tembelea BILIGETH V.I.P Shopping Center kwa shopping ya bidhaa bora na vipodozi vya kisasa ili uendelee kupendeza na kung'ara. Karibu BONANZA STAR LODGE – ambapo faraja, usalama na huduma bora vinakutana. Tunakusubiri! #BonanzaStarLodge #BuyuniChanika #KaribuBonanza #LodgeBora #Shopping #VIPShopping #DarEsSalaam #Mapumziko #TravelTanzania by @eastafricatv
1
2 hours ago
Download
Je, una uzoefu wa kuandika na kuripoti habari za biashara, uchumi na fedha?East Africa Tv LTD inatafuta Business & Financial Journalist wa kujiunga na timu ya Habari.Tuma maombi yako kwa barua pepe: jobs@eatv.tv ukiambatanisha barua ya maombi, CV na sampuli tatu (3) za kazi zako za habari za biashara au fedha. Mwisho wa kutuma maombi: 31 Julai 2026#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
2
2 days ago
Download
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amemtembelea na kumjulia hali Mdau wa mziki na mlezi wa vipaji, Mkubwa Fella, nyumbani kwake, ambapo alimkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.Majaliwa pia alifanya naye mazoezi mepesi ya viungo na kupata fursa ya kufanya mazungumzo marefu kuhusu mchango mkubwa wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu tasnia ya sanaa.Aidha, Majaliwa ameahidi kuendelea kumtembelea Mkubwa Fella mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya afya yake na kumpa faraja. by @eastafricatv
9
23 minutes ago
Download
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Mashujaa, uliopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 25 Julai, 2026.#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
12
26 minutes ago
Download
Kutoka kwa @shneida_infos hii ni First Eleven yake ya nyimbo za kitambo ambazo zikipigwa hata leo unaweza kujua ni mpya kumbe zina zaidi ya 15 tangu zimetoka! Beat, uandishi ulitomika, ujumbe na uwasilishaji wake unafanya ngoma hizi kuwa bora muda wote ndio maana unaweza kuhisi zimetoka juzi! @lordeyesmweusi N2N - Hawatuwezi @solothang_aka_ulamaa @professorjaytz na Afande Sele - Mtazamo@officialchidi_beenz Ngoma itambae (DSM Stand Up)@professorjaytz ft @sir_nature Zali La Mentali Godzillah - King Zillah @mrbluebyser1988 Tabasamu @tidmusic Nyota yako @joslin_tz Niite basi mpenziAlikiba - Run DuniaJay Moe ft Ngwea - Kimya Kimya GK, AY na FA - Leo Kwako ni ngoma zipi zikipigwa zinasound kama bado mpya? #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
41
an hour ago
Download
#Funguka | Ni kitu gani kinakupa mawazo zaidi kuhusu maisha?#Funguka | #EastAfricaTv | #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
9
an hour ago
Download
DADAZ Jikoni Tips leo @britneyfood anatufundisha namna ya kuhifadhai papai kwa muda mrefu bila kuharibika.#DADAZJikoni by @eastafricatv
2
3 hours ago
Download
#HABARI Vijana Wilayani Tanganyika mkoani Katavi wametumia mikopo ya Halmashauri kufungua kampuni ya vifaa vya umeme ambayo imewawezesha kupata fursa za kufanya kazi na taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo TANESCO.Hayo yameelezwa wakati Waziri wa Vijana, Joel Nanauka, akihitimisha ziara yake mkoani Katavi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Kijiji cha Ilela, ambapo amewataka vijana kuchangamkia fursa za mikopo ili kujikwamua kiuchumi.Waziri Nanauka amesema ameona namna halmashauri za mkoa huo zinavyotekeleza utoaji wa mikopo kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, huku wengi wakitumia fursa hiyo kuanzisha miradi mbalimbali.Amesema vijana, wanawake na makundi maalumu mkoani Katavi wameonyesha mwitikio mzuri katika kutumia mikopo hiyo kuanzisha shughuli za uzalishaji na kuongeza kipato.Katika ziara hiyo, Waziri Nanauka pia ametembelea miradi mbalimbali ya sekta za afya na elimu inayotekelezwa katika halmashauri za mkoa wa Katavi.#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
3
3 hours ago
Download
Hii ni kawaida yetu kila Jumamosi #EATVJoggingClub tunakutana Barabarani@kilimanjaro_mineral_water by @eastafricatv
5
5 hours ago
Download
#HABARI Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetangaza kumaliza operesheni yake dhidi ya Wahouthi wa Yemen baada ya kushambulia maeneo ya kijeshi ya kundi hilo kufuatia mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu.Msemaji wa muungano huo, Turki al Maliki, amesema Wahouthi walilenga meli za kibiashara na kusababisha muungano kutoa “jibu kali na la kuamua” dhidi ya maeneo yanayotumiwa na kundi hilo.Kwa mujibu wa chanzo cha usalama kilichonukuliwa na AFP, mashambulizi hayo yalilenga kambi na ngome za kijeshi za Wahouthi katika mkoa wa Hodeidah.Runinga ya Al Masirah inayomilikiwa na Wahouthi imeripoti milipuko katika maeneo kadhaa, huku wakazi wakithibitisha kusikia mashambulizi makubwa.Wahouthi wametishia kulipiza kisasi dhidi ya Saudi Arabia, wakidai mashambulizi hayo yalilenga miundombinu ya kiraia, huku wakisisitiza kuendelea kulenga maslahi ya Saudi baharini.#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha by @eastafricatv
12
5 hours ago
Download
Nani huyo anatuma message wakati #eatvjoggingclub tupo barabarani na @kilimanjaro_mineral_water #eatvjoggingclub #eastafricatv by @eastafricatv
19
6 hours ago
Download
Wewe nani wewe hutaki kufanya mazoezi ,karibu EATV JOGGING CLUB tufanye mazoezi tukiwa na @kilimanjaro_mineral_water #eatvjoggingclub #eastafricatv by @eastafricatv
6
6 hours ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up