Instagram story viewer> @eastafricatv> Post
7 hours ago
Co Creator: eastafricaradio
#HABARI Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetangaza kumaliza operesheni yake dhidi ya Wahouthi wa Yemen baada ya kushambulia maeneo ya kijeshi ya kundi hilo kufuatia mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu.

Msemaji wa muungano huo, Turki al Maliki, amesema Wahouthi walilenga meli za kibiashara na kusababisha muungano kutoa “jibu kali na la kuamua” dhidi ya maeneo yanayotumiwa na kundi hilo.

Kwa mujibu wa chanzo cha usalama kilichonukuliwa na AFP, mashambulizi hayo yalilenga kambi na ngome za kijeshi za Wahouthi katika mkoa wa Hodeidah.

Runinga ya Al Masirah inayomilikiwa na Wahouthi imeripoti milipuko katika maeneo kadhaa, huku wakazi wakithibitisha kusikia mashambulizi makubwa.

Wahouthi wametishia kulipiza kisasi dhidi ya Saudi Arabia, wakidai mashambulizi hayo yalilenga miundombinu ya kiraia, huku wakisisitiza kuendelea kulenga maslahi ya Saudi baharini.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
12
Posted On: July 25th 2026, 07:52 am
Tagged Users:

Comments (12)
simba__yetu 4 hours ago

simba__yetu

Kwaiyo malekani kaamua kabosa watu wauliwe 😢

juma_juma1960 4 hours ago

juma_juma1960

Matarijo yetu kufikia j3 mafuta yawe angalau pipa usd 150

ngaunje72 6 hours ago

ngaunje72

Marekan ameshachomesha nyaya waaarabu wanauana yeye kicheko😂

choz_kim 6 hours ago

choz_kim

Na huko Aramco je Pako sallama

omaryfgl15 6 hours ago

omaryfgl15

Marekani yeye uko ni kicheko tu

monta_wizzy 6 hours ago

monta_wizzy

🔥🔥🔥

sydneyasad6 7 hours ago

sydneyasad6

Saudia bora wafunike kombe mwana haramu apite

jumaa_brand 7 hours ago

jumaa_brand

Hi saudia kayataka ngoja askilizie milio 😂

chaula3340 7 hours ago

chaula3340

Kila anaangalia anaemueeza 😂😂😂😂😂😂

phillipo_gordian 7 hours ago
said.nasoro1 7 hours ago

said.nasoro1

“Nimegundua kitu kinaitwa 👉 @freemanbase honestly watu wengi bado hawajakiona hiki.”

More posts

back to up