a few seconds agoKUPITIA KITABU HIKI UTAJIFUNZA; 1: Affiliate Marketing 2: Digital Marketing 3: Biashara unazoweza kuanza na mtaji mdogo au bila mtaji kabisa 4: Utapata Machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla (Kariakoo) 5: Taasisi zinazotoa mikopo kwa vijana wabunifu na wenye idea mbalimbali za biashara. 6: Remote task nk.. NB: Kitabu hiki kinafundisha hatua kwa hatua hakuna kitu kimefichwa humu. Ulimwengu wa sasa unatutaka tuwekeze zaidi katika maarifa
