Instagram story viewer> @shneida_infos> Posts
300
posts
25.8K
followers
690
following
Broadcast Journalist @eastafricatv

Wa min Sharri Haasidin izaa Hasad 🙏🏻
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Waigizaji Ray Kigosi @raythegreatest na Pastor Myamba wamejumuika na watu wengine Makaburi ya Kisutu kumzika Mzee Hashim Kambi.#RIPMzeeKambi @eastafricaradio 🎥✍️ @shneida_infos by @shneida_infos
214
3 months ago
Download
Wakubwa wa kazi kazini @professorjaytz x @therealjongwe wapo tayari kuzungumza na waandishi wa habari muda huu!it’s all about @bongoflavahonors season 4 na @professorjaytz ndio atashambulia stage siku ya May 1! #ProfessorJay #MrIISugu #JosephMbilinyi 🎥 @shneida_infos by @shneida_infos
246
5 months ago
Download
🎤 @shneida_infos akimuuliza @luludivatz juu ya mabadiliko ya mwili wake ambayo yamesababishwa na kutumia bidhaa kuanzia tumboni na shepu yake kwa ujumla.Interview nzima tayari ipo Youtube ya @eastafricaradio #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎤 @shneida_infos 🎥 @mkogoty by @shneida_infos
2k
a year ago
Download
Mwanamuziki wa Singeli @kaje_double_killer_45 anashea level yake ya Elimu aliyopitia baada ya kusoma shule 8 tofauti!Na anafunguka sababu ya kutoendelea na masomo Chuoni licha ya kupata Division 3, matokeo ya kidato cha 6! #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎤 @shneida_infos @eastafricaradio by @shneida_infos
15
an hour ago
Download
Kutoka kwa @shneida_infos hii ni First Eleven yake ya nyimbo za kitambo ambazo zikipigwa hata leo unaweza kujua ni mpya kumbe zina zaidi ya 15 tangu zimetoka! Kuanzia production, beat, uandishi ulitomika, flow, ujumbe na uwasilishaji wake unafanya ngoma hizi kuwa bora muda wote ndio maana unaweza kuhisi zimetoka juzi! @lordeyesmweusi N2N - Hawatuwezi @solothang_aka_ulamaa @professorjaytz na Afande Sele - Mtazamo@officialchidi_beenz Ngoma itambae (DSM Stand Up)@professorjaytz ft @sir_nature Zali La Mentali Godzillah - King Zillah @mrbluebyser1988 Tabasamu @tidmusic Nyota yako @joslin_tz Niite basi mpenziAlikiba - Run DuniaJay Moe ft Ngwea - Kimya Kimya GK, AY na FA - Leo Kwako ni ngoma zipi zikipigwa zinasound kama bado mpya? #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha by @shneida_infos
215
4 hours ago
Download
Mamz @wolperstylish anasema Gen Z wanakula bata kwa stress sana sio kama enzi zao walivyokuwa wanaponda raha! Pitia YouTube ya @eastafricaradio na @eastafricatv kuona interview kamili ya #JacquelineWolper.-#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #Trending #Reels by @shneida_infos
90
4 days ago
Download
Muigizaji @wolperstylish humwambii kitu jinsi anavyowakubali wasanii @matonyambili na @mrbluebyser1988 ambao wamechangia yeye kupenda sana muziki!Interview nzima ya Wolper na @shneida_infos ipo YouTube ya @eastafricaradio #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎤 @shneida_infos by @shneida_infos
49
5 days ago
Download
🎤 na Matupa wa Nne Tano @kaje_double_killer_45📸 @mab_carl by @shneida_infos
49
11 days ago
Download
Mshindi wa @bongostarsearch msimu wa 16 mwaka huu 2026 Praise Wisdom kutoka Uganda 🇺🇬 Praise atapata Tsh Milioni 50 na Ndinga yake mpya!#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha @eastafricaradio ✍️🎥 @shneida_infos by @shneida_infos
318
14 days ago
Download
Mapilato wa BSS msimu wa 16 @ecejay @s2kizzy @coy_mzungu @msritapaulsen wakiingia kwa ajili ya fainali ya mashindano haya ya kusaka vipaji!✍️🎥 @shneida_infos @eastafricaradio by @shneida_infos
162
14 days ago
Download
Binamu yako #MwanaFA aliweka pembeni kidogo Ubunge na Unaibu Waziri 🙌Hapa anaenda kama Shaaban Robert wa kizazi hichi na mkali wa hizi kazi Africa Mashariki mpaka kusini mwa Jangwa la Sahara, @albogastbm anatambua hilo! #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha @eastafricatv @eastafricaradio 🎥 @officialkingmussa by @shneida_infos
45
14 days ago
Download
Sikia Chips hizo walizomwagiwa @mwanafa na @aytanzania wakati wanai performe ngoma yao ya “Habari ndio hiyo” Unakumbuka ngoma hii ilitoka mwaka gani? #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎥✍️ @shneida_infos @officialkingmussa by @shneida_infos
109
14 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up