Instagram story viewer> @richmzawa> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Leo nilipoa kinyamwezi nikatoka out na mtoto wamtu
 
Tulikua bado hatuja juana kiundani  hajui nina mitikasi gani  na mimi pia sijui  ana mitikasi gani 

  Wakati tumepoa  nikatoka kidogo bahati mbaya nikaacha simu yangu 

  Heee! Nilivyo ludi nilikuta unyoya tu  mtu kasha peperuka kama kindege  ila simu yangu kaacha na vitu vingine asa ile nataka nimpgie  sindo nikakutana na hiii picha.. YAANI uyu Binti msumi kaniacha kisa picha.  Atajutia maamuzi yake  2040 by @richmzawa
2
15 days ago
Download
Ichungulie kazi kama unaiweza 
Nenda kaombe kazi 

Unavyeti
Huna vyeti 

Andaa confidence 
Nida 
Barua za serikali ya mtaa 

Mtangulize mungu wako then nenda kaajiliwe @dizastavina by @richmzawa
0
a month ago
Download
Ayo mazingira ni nature by @richmzawa
4
a month ago
Download
Pacha skuizi naskia kawa mganga 😁 kila rakheli mlozi mpya by @richmzawa
0
a month ago
Download
NIMEAJIRIWA  KAZI YANGU NAIPENDA SANA

LAKINI PIA 
NATAMANI KUJIAJIRI  NIKIWA NDANI YA AJIRA 

  TATIZO MUDA  SIPATI WAKWENDA KUANZISHA  ISSUE ZANGU  nifanyeje  ndugu zangu  @waziri_wa_vijana  #trending #tanzania by @richmzawa
2
a month ago
Download
MICHONGO YAKWENDA ULAYA  SKUIZI IMEKUA MINGI SANA @obiimkali nenda by @richmzawa
2
3 months ago
Download
nadhani tungeanza kujiinua wenuewe kwanza #tanzania#fly #instagram by @richmzawa
0
3 months ago
Download
#tanzania #tanzania  @waziri_wa_vijana by @richmzawa
0
3 months ago
Download
HAPPY NEW YEAR WATU WA MUNGU  NA RASTAS WOOOTE by @richmzawa
2
7 months ago
Download
NIMEPEWA MTIHANI MDOGO  HAPA  NIMEAMBIWA 
NIANDIKE  JINA LA  NINAE MPENDA THEN  NIMALIZIE COUPTION YANGU by @richmzawa
0
9 months ago
Download
Nimepanda gari  kutoka  nilipo toka mpaka nilipo kua naenda, pembeni yangu alikaa binti mmoja mzuriiii  safali ikaanza 

Ukafika mda wa T nikanunua mkate  nikampa nayule dada 
Mda wa lunch ukafika  nikanunua mkate tena  nika dada wawatu 
 Usiku ukafika  nikanunua tena mkate  nikampa tena  yule dada, yeye hanunui chochote
 Chaajabu kaninuania safari yote  mpaka  mwisho wa safali yangu by @richmzawa
5
9 months ago
Download
HIVI ASKAR AKIAMBIWA APOSTI KAZI YAKE  ANAPOSTI NINI? by @richmzawa
0
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up