Instagram story viewer> @eastafricatv> Post
3 hours ago
#Funguka | Ni kitu gani kinakupa mawazo zaidi kuhusu maisha?

#Funguka | #EastAfricaTv | #TogetherTunawakilisha
9
Posted On: July 25th 2026, 11:56 am
#Funguka | Ni kitu gani kinakupa mawazo zaidi kuhusu maisha?

#Funguka | #EastAfricaTv | #TogetherTunawakilisha
Comments (9)
marwakitangitagugwa 2 hours ago

marwakitangitagugwa

Kinachonipa mawazo zaidi ni jinsi ya kujenga maisha bora na kutimiza malengo yangu huku nikihakikisha familia yangu ipo salama na yenye furaha...!!

mangi_sina_wakibosho 2 hours ago

mangi_sina_wakibosho

Kuingia cha kike

confession_jua_lako2026 2 hours ago
blandina64 2 hours ago
blandina64 2 hours ago

blandina64

Umri unaenda kwa Kasi

daktariwabiashara 2 hours ago

daktariwabiashara

Biashara nyingi hazifeli kwa sababu bidhaa ni mbaya. Zinafeli kwa sababu hazielewi jinsi akili ya mteja inavyofanya maamuzi. Ukijifunza saikolojia ya mteja, utaweza: Kuwasiliana kwa lugha inayomgusa mteja. Kujenga uaminifu kabla ya kuuza. Kuongeza mauzo bila kutegemea kushusha bei. Kujenga wateja wa kudumu badala ya wanunuzi wa mara moja.

eddovanny_ 2 hours ago

eddovanny_

Fear of being poor😂😂

kc_tanzania_ 3 hours ago

kc_tanzania_

Kifo na pressure ya pesa😢💔

jeff_albert_tz 3 hours ago

jeff_albert_tz

Nikizeeka sina Pesa itakuwaje?

More posts

back to up