Instagram story viewer> @eastafricatv> Post
2 hours ago
Co Creator: eastafricaradio
40
Posted On: July 25th 2026, 12:52 pm
Tagged Users:
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amemtembelea na kumjulia hali Mdau wa mziki na mlezi wa vipaji, Mkubwa Fella, nyumbani kwake, ambapo alimkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.

Majaliwa pia alifanya naye mazoezi mepesi ya viungo na kupata fursa ya kufanya mazungumzo marefu kuhusu mchango mkubwa wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu tasnia ya sanaa.

Aidha, Majaliwa ameahidi kuendelea kumtembelea Mkubwa Fella mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya afya yake na kumpa faraja.
Comments (40)
gidofond 12 minutes ago

gidofond

🔥

_faranca69 16 minutes ago

_faranca69

Fella alimbania sana Harmonize...nakumsema vibaya interview nyingi...Mwenyezi Mungu ampe shifaa ...dunia sio mali yetu

nandumbiamazulu 17 minutes ago

nandumbiamazulu

Mungu akubark majaliwa km jina lako❤️❤️

viza_si 17 minutes ago

viza_si

Amen

ramadhan042017 23 minutes ago

ramadhan042017

Oya wanangu fanyeni yote ila mtaji wa kwanza ni afya achaneni na malaya, energy drink na pombe kidogo lakin😎

mchaga_mwenye_swagatz 23 minutes ago

mchaga_mwenye_swagatz

@kassim_m_majaliwa baba hongera kwa upendo huo mkubwa uliounyesha, 👏👏 mungu akubariki sana MR.PRESIDENT.

angeljohn2030 25 minutes ago

angeljohn2030

Mungu akubariki Mh @kassim_m_majaliwa

mushongiaristides 27 minutes ago

mushongiaristides

Waziri uendelee Na Moyo huo huo

jonas_rutta 28 minutes ago

jonas_rutta

Next presidaa of US is you @kassim_m_majaliwa

mushongiaristides 28 minutes ago

mushongiaristides

Mungu amponye,

ahmedstagram_95 32 minutes ago

ahmedstagram_95

Hujafa hujaumbika🫆

mwangwa_ 35 minutes ago

mwangwa_

Manager wa Diamond jamaniii

jninetythree 37 minutes ago

jninetythree

Sikia milio ya camera hio 😂😂😂😂

kulwa8588 39 minutes ago

kulwa8588

Hakika mungu anaweza kubadilisha maisha ya binadamu wakati wowote muda wowote yaani ni pale tu anapotaka

abasmwika99 42 minutes ago

abasmwika99

Sisi binadamu si lolote si chochote aisee tupendane

Load More

More posts

back to up