Mimi ni HAPANA kubwa Tena hyo ni dalili ya red flag 🚩 mwanaume kukushiniza Mimi umtumie picha zako ukiwa hujavaa nguo
Siwezi Fanya huo ujinga hata siku Moja. Hata anipe mamilioni ya pesa