Instagram story viewer> @tecmntanzania> Post
a month ago
Co Creator: cdf_tanzania
Photo by EndChildMarriage on October 08, 2026. May be an image of one or more people, poster, screen, dais and text.
Photo by EndChildMarriage on October 08, 2026. May be an image of one or more people, people standing and text.
Photo by EndChildMarriage on October 08, 2026. May be an image of one or more people, people standing, dais and text.
Photo by EndChildMarriage on October 08, 2026. May be an image of child, dancing, costume and text.
2
Posted On: October 8th 2026, 03:06 pm
Tagged Users:
Tukiongozwa na kaulimbiu ya mwaka huu, “Komesha Ndoa za Utotoni na Wekeza katika Haki za Wasichana,” leo tumeungana na serikali, @plan_tanzania, washirika wa maendeleo na wasichana katika kilele cha maadhimisho ya #GirlsTakeOver, kuelekea Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike.

Kwetu, kumaliza ndoa za utotoni kunaanza kwa kulinda haki za wasichana na kuweka mazingira yanayowawezesha kustawi. Hii ni pamoja na kuhakikisha wasichana wanaendelea na masomo, wanapata huduma za afya na ulinzi, wanashiriki katika maamuzi yanayohusu maisha yao, na wanapata nafasi ya kushiriki na kuongoza.

Wasichana wanapopewa nafasi na fursa wanazostahili, wanaweza kujenga mustakabali wao na kuchangia Tanzania bora zaidi.
Tushirikiane kutokomeza ndoa za utotoni, kulinda haki za wasichana na kuwekeza katika mustakabali wao.

#IDGC2026 #GirlsTakeOver #EndChildMarriage #InvestInGirls #girlsrights
Comments (2)
abie_mapicha a month ago

abie_mapicha

Congrats Madame @_.g.l.a.d.n.e.s.s

More posts

back to up