😂😂😂😂😂 Hatuna cha kusema washa sema wao wamemaliza
😂😂😂😂
Semajiii
Yangaa bigwaa
Wanawake wenzangu Kuna cha kujifunza hapa mnaona ukikaa kimya wanaume wanavyoumia eeh,haya sasa wewe tukio kidogo unapiga kelel kaa kimya ndo unamuumiz zaidi,😂😂😂kuongea ongea ni udhaifu
Tuseme nini sisi wakati hatuna beki kama Toure??
Na tuna asilimia 5
😂😂
😂😂😂😂 wakisema wao inatosha
Sindo apoo sas
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Aibu wataona wao
😂😂😂😂wanateseka majirani asa tuseme nini na%10 sie😢🙌