Instagram story viewer> @pondadavid> Posts
1K
followers
2317
following
Tax Consultant
Mkulima
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Mungu ni Mwema Kila wakati 

Ahsante Yesu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ taken in Mali Utaipata Shambani by @pondadavid
0
3 years ago
Download
 by @pondadavid
0
4 months ago
Download
 by @pondadavid
2
7 months ago
Download
Keep prospering my son ๐Ÿ’ช by @pondadavid
2
7 months ago
Download
๐Ÿ™๐Ÿ™
@ponda_farm 
@ponda_phone_accessories taken in mlele district council by @pondadavid
5
a year ago
Download
FAHAMU HISTORIA YA KUKU WALIKOTOKEA

Kuku alitokana na jamii ya kuku-mwitu mwekundu wa Asia. Muda si muda, mwanadamu alitambua kwamba kuku anaweza kufugwa kwa urahisi.

Inashangaza kwamba miaka 2,000 hivi iliyopita, Yesu Kristo alizungumzia jinsi kuku anavyokusanya vifaranga vyake na kuvilinda chini ya mabawa yake. (Mathayo 23:37; 26:34) Mfano huo unaonyesha kwamba kwa ujumla watu walimfahamu sana ndege huyo. 

Lakini kuku walianza kufugwa kwa wingi na mayai kutagwa kwa minajili ya biashara katika karne ya 19.Leo nyama ya kuku inapendwa sana kuliko nyama ya ndege mwingine yeyote. 

Kuku hufugwa na mamilioni ya watuโ€”hata wale wanaoishi mijiniโ€”kwa ajili ya chakula na biashara. Kwa kweli, ni wanyama wachache sana wa kufugwa wanaoweza kusitawi katika maeneo mbalimbali kama kuku.

Nchi mbalimbali zimekuza kuku wa jamii fulani ambao wanaweza kukidhi mahitaji yao na kustahimili hali ya hewa ya sehemu hizo. 
Baadhi ya jamii hizo ni: kuku wa Australorp kutoka Australia; kuku ajulikanaye sana wa Leghorn, asili yake ni Mediterania lakini anapendwa sana nchini Marekani; kuku wa New Hampshire, kuku wa Plymouth Rock, kuku wa Rhode Island Red, na Wyandotte, kuku hao wanatoka Marekani; na Cornish, Orpington, na Sussex, wanatoka Uingereza.
Sayansi ya kisasa imefanya ufugaji wa kuku uwe mojawapo ya utendaji wenye faida sana katika kilimo.

Nchini Marekani, wakulima hutumia mbinu bora za ulishaji na ufugaji. Wao pia hudhibiti magonjwa ya kuku kwa njia za kisayansi. Watu wengi hushutumu mbinu hizo za kisayansi za kuzalisha kuku wengi kuwa za ukatili. Lakini licha ya shutuma hiyo wakulima wangali wanabuni njia bora zaidi za kufuga ndege hao.

Hivi sasa mtu mmoja tu anaweza kutunza kuku 25,000 hadi 50,000 akitumia mbinu za kisasa. Ndege hao huwa wamefikia uzani wa kutosha kuuzwa sokoni baada ya miezi mitatu tu.

Kuku ni Biashara ๐Ÿ™

@pondadavid 
@ponda_farm 
@ponda_phone_accessories taken in Nzuguni Dodoma by @pondadavid
2
a year ago
Download
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ by @pondadavid
1
a year ago
Download
 by @pondadavid
2
a year ago
Download
Nane nane ya wakulima 2025

@bashehussein 
@wizara_ya_kilimo taken in Chinangali, Dodoma, Tanzania by @pondadavid
0
a year ago
Download
๐Ÿ™๐Ÿ™ taken in Manyara-babati by @pondadavid
1
a year ago
Download
Happy birthday to my amazing son ! 

Your presence brings so much joy and happiness into our lives. 

๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚ by @pondadavid
1
a year ago
Download
HBD my son 
Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na mafanikio tele by @pondadavid
1
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up