Watanzania na Africa kiujumla Muda unazidi kuyoyoma please let’s keep voting for our girl @jihandimack ingia page ya @missgrandinternational nenda kwenye picha ya Jihan ambayo ni hii niliopost make sure una Like,repost na comment then ukiwa hapo hapo kwenye picha ya Jihan mkono wa kulia kwa juu utaona neno follow tunaomba ufollow ukiwa hapo kwenye picha ya Jihan,,,