a day agoHappy Successful! Mungu akutangulie katika kila hatua, akupe hekima ya kufanya maamuzi sahihi na akubariki zaidi ya ulivyotarajia. Usikate tamaa unapokutana na changamoto; endelea kuamini, kujituma na kusimama imara, maana kila hatua unayopitia inaweza kuwa daraja la kukupeleka kwenye mafanikio makubwa zaidi.
2 days agoFrom Alpha to the world! 🎓Congratulations on your graduation. We are incredibly proud of you!
