Instagram story viewer> @sunkingtanzania> Post
2 days ago
Heri ya siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Leo tunakumbuka mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga umoja,mshikamano na Tanzania tunayoijua leo.

#sunkingtanzania #solar
7
Posted On: October 14th 2026, 09:29 am
Heri ya siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Leo tunakumbuka mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga umoja,mshikamano na Tanzania tunayoijua leo.

#sunkingtanzania #solar
Comments (7)
bennyoscar607 a day ago

bennyoscar607

Sasa mbona hakuna mawasiliano yeyote Wala maelekezo yeyote kuhusu uduma zenu, Mimi nilikua nataka solla ila sjaona orodha ya Sola na Bei hamjaweka napia sijaona sehem ofce zenu zilipo

juhudi.anangisye 2 days ago

juhudi.anangisye

Naomba mawasiliano kama mna tawi lenu babati?

enktrauderthadey 2 days ago

enktrauderthadey

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

emmanuel.kivuyo 2 days ago

emmanuel.kivuyo

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

More posts

back to up