Instagram story viewer> @sunkingtanzania> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Ofisi hii si mahali pa kazi tu,bali ni watu wanayoifanya iwe ya kipekee.❤️

Nyuma ya kila mafanikio tunayoshinda na kila hatua tunayopiga kuna timu inayoshirikiana,kusaidiana na kujituma kila siku.

Kwa kila mmoja anayechangia kwa ujuzi,nguvu  na moyo Asante kwa kuwa sehemu ya Timu hii ya kipekee.

#sunkingtanzania #sunking #teamwork by @sunkingtanzania
11
5 hours ago
Download
Heri ya siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa.

Leo tunakumbuka mchango wa Baba wa Taifa katika kujenga umoja,mshikamano na Tanzania tunayoijua leo.

#sunkingtanzania #solar by @sunkingtanzania
7
2 days ago
Download
HomePlus Max inahakikisha hakuna kinachosimama nyumbani,na kila mwanafamilia anaweza kuendelea na shughuli zake,iwe ni mama kuandaa chakula,Baba kufatilia taarifa za muhimu,na hata mtoto kuendelea na kazi za shule.

Tutumie ujumbe sasa uweze kujipatia yako.

#homeplusmax #sunkingtanzania  #solar by @sunkingtanzania
1
4 days ago
Download
Tabasamu,Furaha na kumbu kumbu za Furaha.
Wiki hii ya huduma kwa wateja imekuwa ni ya Furaha,na kutengeneza kumbukumbu za pamoja.

#customerserviceweek #extramile #sunking #sunkingtanzania by @sunkingtanzania
16
7 days ago
Download
Na hivi  ndivyo tunavyozidi kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja.
Wiki ya huduma kwa wateja inakaribia kuisha lakini tunaahidi kuendelea kufanya zaidi ya matarajio katika kuhudumia wateja wetu kila siku.

#customerserviceweek #extramile #sunkingtanzania by @sunkingtanzania
33
7 days ago
Download
Oktoba ni mwezi wa wiki ya huduma kwa wateja.
Na mwaka huu tunakwenda hatua zaidi,ni kuhusu kufanya zaidi,kuvuka matarajio na kuhakikisha kila mawasiliano na mteja yanaacha alama.

Kwasababu huduma nzuri sio tu kile tunachokifanya bali pia ni kuhusu juhudi za ziada tunazoweka kila siku.

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

#customerserviceweek 
#extramile 
#sunking 
#sunkingtanzania by @sunkingtanzania
60
11 days ago
Download
Oktoba hii,usikubali kukatika kwa umeme kukuzuie kuendelea na shughuli zako.

HomePlus ni moja ya vitu vya uhakika vya kuwa navyo mwezi huu.
Pata mwanga na endelea na shughuli zako hata umeme unapokatika,na uzuri zaidi ni kwamba unaweza kuipata kwa malipo ya kidogo kidogo.
Usikose yako mwezi huu.

#homeplus #sunkingtanzania #sunking #solarsystem by @sunkingtanzania
8
14 days ago
Download
Umeme unapokatika,maisha hayapaswi kusimama.
Kuanzia taa,kuchaji simu,hadi burudani za nyumbani,HomePlus Max inakupa nguvu ya kuendelea na mambo yako.

Tutumie ujumbe sasa kuweza kujipatia yako,na unaweza kulipia kidogo kidogo.

#homeplusmax #solar #sunkingtanzania by @sunkingtanzania
12
18 days ago
Download
Linapokuja suala la huduma bora unajua kabisa kuwa tunakupatia na bidhaa bora zaidi bila kuwa na wasi wasi,HomePlus Max itakufanya uweze kupata mwanga,kuangalia Tv,kuchaji vifaa vyako vya umeme na unaweza ukalipia kidogo kidogo.

Tutumie ujumbe sasa tuweze kukuhudumia.

#homeplusmax #sunking #sunkingtanzania #solarsystem by @sunkingtanzania
53
21 days ago
Download
Pata Mwanga 🌝
Chaji simu yako
Pata redio na Bluetooth vyote kwa pamoja.

Iwe ni wakati wa kupumzika,kusikiliza muziki au wakati umeme umekatika,hii sio ya kukosa.

#sunking #sunkingboom #sunkingtanzania by @sunkingtanzania
6
23 days ago
Download
Ukiwa na Sun King HomePlus Pro,unaweza kuangaza nyumba yako au biashara yako bila kukatizwa na kukatika kwa umeme.

Usiruhusu kukatika kwa umeme kusimamishe shughuli zako.
Tutumie ujumbe sasa kwa maelekezo zaidi na ujipatie yako leo.

#homepluspro #sunkingtanzania #solar #sunking by @sunkingtanzania
13
25 days ago
Download
Sio mwanga pekee 🤩
Kwa kupitia Sun King Boom yetu mpya,
Unaweza kusikiliza mziki kwa kupitia Bluetooth.
Kuchaji simu yako.
Kupata mwanga.
na kufurahia Fm Redio.

Haya yote ni ndani ya kifaa kimoja,tutumie ujumbe sasa uweze kujipatia yako kwa malipo ya kidogo kidogo.

#sunkingboom  #sunkingtanzania #solar by @sunkingtanzania
24
a month ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up