Instagram story viewer> @endfemicidetz_> Post
22 days ago
Co Creator: dadasrisetz woyomo_tz gwajimad
Komesha muaji ya wanawake Tanzania, wanawake wana haki ya kuishi, kuwa wenza sio leseni ya wao kuuliwa. 

Hatuwezi kunyamaza, hatuwezi kuvumilia mwanamke mwingine kuuliwa Tanzania. 

#EndFemicideTz #KomeshaMuajiYaWanawakeTz
14
Posted On: October 15th 2026, 09:03 am
Komesha muaji ya wanawake Tanzania, wanawake wana haki ya kuishi, kuwa wenza sio leseni ya wao kuuliwa.

Hatuwezi kunyamaza, hatuwezi kuvumilia mwanamke mwingine kuuliwa Tanzania.

#EndFemicideTz #KomeshaMuajiYaWanawakeTz
Comments (14)
chosen1_gallery 14 days ago

chosen1_gallery

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

zurry_things 19 days ago

zurry_things

Na watoto jamani😭

vicky.smithy.54 19 days ago

vicky.smithy.54

πŸ’”

adamthehustla 20 days ago

adamthehustla

Sio kuua wanawake tu, hata wanaume wanauliwa huko ndani sema tu sio kesi kubwa kwa sababu mwanaume hathaminiki... Hapo uandike tu tuache kuuana, hakuna mwenye mamlaka ya kumuua mwenzie, mwanaume au mwanamke. We both deserve to live. Wanaume wengi sana wameuliwa na wake zao ili waache mali, wanaume wengi wamekufa kwa depressions zinasobabishwa na wake zao na familia at large. Sema vifo vyao vinaonekanaga kama Natural disaster!! Havifatiliwi. Na wala haviwekewi maanani kama hao wanawake wanao uawa kwa risasi!! Let's pray wote tusifikie hatua ya kuuana.

lyonwalker_ 20 days ago

lyonwalker_

Kuwa mwenza si leseni ya kuua. Kama wanaume, tusimame kupinga ukatili dhidi ya wanawake.

_kilavelilian 21 days ago

_kilavelilian

This is real πŸ’”πŸ™ŒπŸ½

More posts

back to up