3 days agoHii reli,walianza waturuki,wakaja wachina,sasa wa Misri.wabongo miaka 8ya SGR BADO hatuna uwezo wa kuipanga reli.
4 days ago@tzrailways Tunapata changamoto kila siku Sasa week hii ya kukata tickets za abiria. Na hamna maelezo wala msada wowote toka kwenu. Tuna shindwa panga safari na wageni wa ndani na nje ya nchi na mnatuangusha kama wadau wenu.
4 days agoTRENI YA SAA TATU ASUBUHI KUTOKA DAR TO DODOMA, BEHEWA NAMBA 6, LEO TUMEISOMA NAMBA!! TRC JITAHIDINI KUDHIBITI KELELE ZA WASAFIRI. TUMESAFIRI KWA KARAHA SANA KWA KELELE ZA WATU WACHACHE.
