
a day agoWachezaji ambao wanacheza timu yenye ushawishi hawana kombe LA ligi msimu wa tano huu ๐ mchezaji akiachwa na simba yanga wakamchukua anaenda kula pesa za pension ila mchezaji akiachwa yanga akienda simba anaenda kwenye timu yenye ushawishi ambayo haina kombe mpaka sasa LA ligi๐๐๐
a day agoUshawishi upi ulionao mnatumia nguvu nyingi kuipambania timu yenu hata ikiwa ya kawaida mnaipa ukubwa usio na uharisia
