Instagram story viewer> @iddynonga_> Posts
109.3K
followers
2322
following
#Godschild😷
Sports presenter | Producer | Analyst | Sports Venue
Verified Journalist : @bongotzfm #tbc
POSTS STORIES REELS TAGGED
🚨Mechi imepoa hii, lakini angalau eneo la kiungo la Kagera lililo na Daudi Milandu,Saidi  Ndemla pamoja na Manu wakipigana spana dhidi ya Baraka Mwambule pamoja na  Mwambungu Kenny wanatupa mechi nzuri 

Anuary leo hana nafasi aliyotengenezewa kwenyw kipindi cha kwanza, Tariq hii namba 10 yake ya uongo,Juhudi na Mtegeta hawasapoti vizuri wenzao mbele kule na ndio kitu ambacho Kagera pia wanakipitia 

Mudathiri Abdullah,Mvuyekure,Dick Mhilu na Yassini Salehe kama tu kila mtu anacheza kivyake,makipa wote wawili Sajo (Adam Adam ) na Cris Nyakanda wapo zao likizo tu mpaka sasa !

HT" | KAGERA 0 -0 POLISI TZ !

NI LIVE KUTOKA KAGERA, DIMBA LA KAITABA !!....😎😎😎 !!... taken in Kaitaba Stadium,Bukoba by @iddynonga_
1
15 hours ago
Download
🚨Yanga wameweka vyuma vinne mechi ya ugenini dhidi ya CFFA ya Madagascar !.

UMEGUNDUA NINI !... by @iddynonga_
2
17 hours ago
Download
Doumbia ashtuke mapema sana by @iddynonga_
10
17 hours ago
Download
🚨Hawa CFFA  hata kupiga pasi tatu zilizokamilika wanashindwa, na hapo ndio wapo nyumbani 😃,sasa wakiwa ugenini watachezaje?, Yanga wanashindana kukosa nafasi,huenda hii ni picha kubwa huko mbeleni katika hatua ya makundi 

Unapaswa kutumia walau nafasi MOJA  kwenye MBILI,Kangwanda what miss?,Shalulile, aiseee, Yanga kandeni nyingi hao watu !.

Second half mnapaswa kutupa reaction! Ni Mabingwa wa nchi nyinyi !!. by @iddynonga_
1
19 hours ago
Download
🚨Haya wakubwa .... by @iddynonga_
7
20 hours ago
Download
🚨Wapinzani wa Yanga kwenye michuano ya kimataifa klabu ya CFFA FC kutoka Madagascar wakiwa tayari kwa mchezo hapa Chamazi Complex !!. by @iddynonga_
2
20 hours ago
Download
🚨Watu wanasema bora wabaki Ibrahim Doumbia kuliko kumrejesha Jean Baleke! Mashabiki wa Simba huyu akiwa mmojawapo hawataki kusikia jina la Baleke 

JE YUPO YUPO SAHIHI ??!.... by @iddynonga_
1
21 hours ago
Download
🚨Kama ilivyo kwa wachezaji wengine wazawa,Sele Bwezi anahitaji kuwa katika jukwaa kubwa zaidi ya alipo,namuona ni mchezaji ambaye kama atapata timu kubwa zaidi na kuwa walimu wenye kujua kuongeza kiwango chake na matumizi anaweza kuwa mchezaji mkubwa zaidi ya sasa 

Ni vile hizi scouting zetu nazo ni ngumu kumfikiria,huenda angetoka nje tu kidogo ya Tanzania basi angeweza kuwa mchezaji mkubwa zaidi kuliko alivyo kwa sasa !!.... by @iddynonga_
5
a day ago
Download
🚨Simba ni timu yenye ushawishi kwa sasa?! Hii inakuja baada ya Prince Dude aliyewahi kuwa nyota wa Yanga na Azam FC kuwa mbioni kurejea ligi ya Tanzania na kujiunga na Simba sports 

Simba wamechukua hatua hiyo ili kulitibu eneo la ushambuliaji baada ya wachezaji waliopo kushindwa kuwa na makali hasa washambuliaji halisi !.

KARIBU TENA TANZANIA, PRINCE DUBE !!... by @iddynonga_
41
a day ago
Download
🚨Kuna muda hao makocha wenu wa timu za taifa wanataka kuvunjiwa tu heshima kwa bei rahisi,tena ya kawaida sana isiyo na kipimo,leo mtu akikuuliza kwanini Iddy Nado si sehemu ya kikosi cha taifa,unakuja na jibu moja tu,kocha hamtaki 

Inawezekanaje mtu mwenye muendelezo wa kiwango cha aina hii anakosa nafasi timu ya taifa?,kuna muda vitu kama hivi vinatukosesha ushindi !. by @iddynonga_
1
a day ago
Download
🚨Aishi Manula mnampa tu ukongwe ili mumtoe kwenye reli,huyu ni kipa wetu pekee kwa sasa akikaa golini timu ya taifa unajihisi kuna usalama mkubwa! Ni vile hachezi hizo timu zenu pendwa !... by @iddynonga_
6
2 days ago
Download
Moja ya changamoto kubwa ya Mnyama huenda inatoka ndani ya wao kwa wao?,naandika hivi kutokana na sababu mbalimbali, mojawapo ni hii ambayo wameamua tu kutulia na kila kwa sasa kipo sawa,wameziba mianya mingi na timu kwa mara ya kwanza imeshinda dabi kwenye ligi na kushinda mechi nane mfululizo za ligi 

Hata yule Jasusi siku hizi hasikiki tena kutoa taarifa 😃, kwa kifupi huenda wamejua ni nani ambaye alikuwa anautoboa mtumbwi wao?, by @iddynonga_
19
3 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up