Posted On: October 27th 2026, 09:10 pm
🌿 USHINDI NI WETU SOTE🌿
Rasmi nimepokea tuzo ya Outstanding Youth Environmental Leader kwenye Tuzo za Vinara wa Mazingira 2026 (ZACCA Awards) 🏆✨
Neno "Ahsante" halitoshi kueleza shukrani zangu kwa kila mmoja aliyetenga muda kunipigia kura na ksupport safari hii. Kila mmoja wenu ana mchango mkubwa, na kila mchango umehesabika.
Tuzo hii ni ushahidi kwamba jitihada zetu za pamoja katika kulinda na kutunza mazingira zinaleta matokeo chanya. Hii ni chachu ya kuendelea kufanya kazi zaidi kwa ajili ya jamii na nchi yetu. 🌍💚
Ahsanteni sana kwa upendo na ushirikiano wenu.
#ZACCAwards2026 #YouthLeadership #ClimateAction #GreenZanzibar #EnvironmentLeader Load More