Posted On: November 1st 2026, 07:47 am
Kumbe kuna mtu anaweza kuiteka akili yako mpaka ukajikuta huna amani bila yeye? WA_GOD na BUBA wanatuletea KADADA, simulizi la mwanaume aliyenaswa na mvuto wa mtoto wa Kiswahili kiasi cha kumpa nafasi ya pekee kwenye mawazo yake.
Mapenzi yana namna yake ya kumchanganya mtu, na ukishakamatwa kisawasawa, hata akili inaweza kushindwa kutoa maamuzi ya mwisho.
Wewe, umewahi kukutana na mtoto wa Kiswahili aliyekuchanganya mpaka ukasahau mambo mengine?
Asante kwa kuwa nasi.
“Acha Utamaduni Wetu Utuunganishe”
@vibes_ontap.
#namicktz #vibesontap #arushamusic #hiphop #viralreels