Instagram story viewer> @tanzanite_.love> Post
2 days ago
Co Creator: elizabethmrembo ubunifu_network bigmarst
29
Posted On: November 1st 2026, 12:50 pm
Ushuru Sifuri, Fursa Mpya Kimataifa! 🇹🇿🇨🇳✨

Tukiwa katika hafla ya kuaga makampuni ya Tanzania yanayoshiriki Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa nchini China, Tanzanite Love tumeshiriki kikamilifu kuendelea kutoa thamani kwa madini yetu ya kipekee na kutanua soko la Tanzanite katika anga za kimataifa! 💎

Tunatoa shukrani za dhati kwa Rais wetu mpendwa, Mhe.Dkt @samia_suluhu_hassan , kwa kutuletea fursa hizi adhimu za biashara isiyo na ushuru (zero tariff) kupitia ushirikiano mzuri na Ubalozi wa China nchini Tanzania. @ubalozichina 🤝✨

Chukua Duka #eaclc Ofaa Izi Zisikupite @eaclc_official

🇹🇿🇨🇳
Comments (29)
mbuba_sarah 2 days ago

mbuba_sarah

🔥🔥🔥🔥

waby.athuman 2 days ago

waby.athuman

🔥🔥🔥

evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏

evathoeaclc 2 days ago
evathoeaclc 2 days ago
evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥🔥

evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥

evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥🔥🔥

evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥

evathoeaclc 2 days ago
evathoeaclc 2 days ago
evathoeaclc 2 days ago

evathoeaclc

🔥🔥🔥🔥

Load More

More posts

back to up