instagram story viewer > #eaclc

#eaclc

Posts
Kituo kikubwa cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) @eaclc_official kilichopo Ubungo, Dar es Salaam, kimegeuka kuwa kivutio kikubwa kwa Watanzania ambapo Watu mbalimbali wameonekana kuja kwa wingi si tu kununua bidhaa, bali pia kufurahia mandhari ya kipekee sakafu ya kioo inayoonyesha mandhali ya chini ukiwa juu yake uzoefu wa aina yake unaokupa hisia za kuwa nje ya Nchi. Watu Wengi waliofika hapa wameielezea AyoTv kuwa mambo kama haya walikuwa wakiyashuhudia tu China lakini sasa Tanzania nayo imefika hii si sehemu ya biashara tu ni mahali pa kupata experience ya kisasa, kupata kumbukumbu za kipekee na kufurahia kila kona, Kama bado hujafika (EACLC) Ubungo basi hujaona jipya la Dar na raha zake Karibu ujionee mwenyewe. #MillardAyoUPDATES
😊Karibu kuchangamsha ubongo sasa tupo EACLC ubungo😊😊#sampromogaming#viral #finale #reels #happy 📸 @jirax_pharii
Unapofika katika soko kubwa la Kimataifa la EACLC (@eaclc_official ) lililopo Ubungo, Dar es salaam, usikose kupita katika Supermarket ya Boma Mali Poa ambayo inatarajiwa kufunguliwa rasmi April 26, Supermarket hii imetangaza punguzo la bei kwa asilimia 10% kwa kila bidhaa kwa mteja atakayefika na kufanya manunuzi siku hiyo ya uzinduzi. Hii ina maana kuwa bidhaa zitauzwa kwa bei nafuu zaidi; kwa mfano, bidhaa ya shilingi elfu tatu itanunuliwa kwa shilingi elfu mbili na mia saba, na ya shilingi elfu tano itashuka hadi elfu nne na mia tano. Pia kutakuwa na zawadi mbalimbali na droo itakayowawezesha wateja kujishindia zawadi kama vile televisheni na bidhaa nyingine nyingi. Meneja wa Supermarket ya Boma Mali Poa, amesema kuwa katika Supermarket hiyo wanauza bidhaa mbalimbali kwa matumizi ya kila siku, ikiwemo vifaa vya nyumbani, mahitaji ya watoto, pamoja na bidhaa za urembo, pia kuna sehemu ya michezo ya watoto yenye vitu vingi vya kufurahisha kwa watoto na familia kwa ujumla. #MillardAyoUPDATES
🤩🤩🤩 ukiwaza ni wapi pasaka hii utaenda kuchangamsha akili na kuburudisha mwili waza EACLC UBUNGO hapa kuja kucheza sampromogaming karibu sana 🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Mapema leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametembelea Tawi Jipya la NBC lililopo Ubungo wakati akizindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC). Katika ziara hiyo, Mhe. Rais alipata fursa ya kufahamu zaidi kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali tunazotoa kwa ajili ya kuwawezesha Watanzania kuanzia wajasiriamali, wafanyabiashara hadi makampuni makubwa.
Vunjabei na Wanachuo ni DamDam milele wameendelea kumiminika hapa EACLC kwenye pambano la @mafiaboxingpromotion lililodhaminiwa na @vunjabei huku kiingilio kikiwa ni bure na usafiri wa kwenda na kurudi kwa wanachuo ni bure pia, yaani raha juu ya raha
🤩🤩🤩🤩🤩🤩 tumerejea EACLC UBUNGO DAR ES SALAAM karibu sana kuburudika na kuweka historia yako mpya 🤩🤩🤩🤩 📸 @jirax_pharii
USIKU WA AFA FASHION 2025 NDANI YA EACLC UBUNGO DAR ES SALAAM !! @meena_ally Ndani Ya Usiku Wa Afa Fashion Night 2025 unaofanyika Hapa EACLC Ubungo Kushuhudia Wabunifu Wa Mavazi Kutoka @afa_tanzania Tupo LIVE Kupitia @wasafitv Na Kwenye YouTube Chaneli Yetu Ya WASAFI MEDIA #WasafiDigital #AfaFashionNight2025
Mtoko wa mtengenezaji wa maudhui mtandaoni @mruky_na @unosye_mwamtobe kwenye usiku wa AFA Fashion msimu wa tatu. Unawampa maksi ngapi? Maonesho hayo yanafanyika EACLC Ubungo, Dar es Salaam. Theme ni 'Majesty Of Nature' ✍🏽 @judith.ene.laizer @afa_fashionnight
USIKU WA KISASI: Ulingo unasukwa vilivyo hapa EACLC, Ubungo Dar es Salaam. Leo ni kupima uzito na face off ili kesho zichapwe ndondi. Tutakuwa LIVE #AzamSports3HD leo kuanzia saa 1:00 usiku. Pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines. Ngumi zenyewe ni kesho Mei 1, 2026, LIVE AzamSports3HD, kuanzia saa 12:00 jioni. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama ngumu hizi. #MafiaBoxing #VitasaNight #AzamtSports #UsikuWaKisasi Vitasa
Welcome at EACLC ubungo 😇😇🔥🔥 #finacialinstitutions #banks #mobilephoneaccessories #eaclc #daressalaam
DAR ES SALAAM — Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, yupo katika mashindano ya ngumi “Knockout ya Mama – Usiku wa Kisasi” yanayofanyika katika viwanja vya EACLC Grounds jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limeandaliwa na Mafia Boxing Ubungo, likiwakutanisha mabondia mbalimbali katika pambano lililolenga kukuza mchezo wa ngumi na vipaji vya vijana. Ujio wa waziri huyo umeashiria kuendelea kwa jitihada za serikali kuunga mkono michezo kama sehemu ya kukuza ajira na burudani nchini. #HabarileoUPDATES
back to up