Kama mmenuna nendeni mkahamie lindi
Uyu mzee mangungu sijui kwann simkubali kabisa😂😂😂
🔥
Jaman so namungo tu walio shidwa kushikiloa bomba kunawengine pia so tusiwa walaum 😂😂
Mbona mangungu kama hajapenda eti😂😂😂😂
FREE MANGUNGU😂😂😂
Hivi vionhozi mbona kama walikiwa wamepigwa bumbuwazi? Au walihisi kuna FVS?😂😂
Mwenyeketi leo tusinge kuelewa
Kuna beki hapo aliekaa karibu na Oura itakuwa amemwaambia nenda kaweke kamba beki anatembea
😂😂
🔥🔥