Instagram story viewer> @pennymalundo> Posts
2.5K
followers
6619
following
SENIOR JOURNALIST MAJIRA & TIMESMAJIRA.
SAMAF DIRECTOR.
ROAD SAFETY AMBASSADOR.
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
80's Challenge Me & Baby @nyumbani_events by @pennymalundo
4
a month ago
Download
Kuna wale wanaopambana na sisi,alafu sisi tunapambana na kazi #hakunakukatatamaa# by @pennymalundo
0
4 months ago
Download
Congratulations my Dear Darling @janethjv255 by @pennymalundo
9
4 months ago
Download
Happy Birthday Junior 1+ by @pennymalundo
2
4 months ago
Download
Mai little  Brother 1+ by @pennymalundo
0
4 months ago
Download
Merry Christmas 2025 by @pennymalundo
2
9 months ago
Download
Babaa Mariam leo ni  siku ile unaenda kulala kwenye nyumba yako ya milele tutakukumbuka sana kwa namna tulivyokuwa tunafanya kazi pamoja 😭😢,tunamshukuru Mungu kwa maisha yako ya Duniani  lalaa Salama Emmanuel🙏🏽 by @pennymalundo
4
a year ago
Download
Asanteni sanaa  @tanzaniameteorological kwa kuendelea kutambua kaz za waandishi wa habari na kuthamini mchango wetu. by @pennymalundo
7
a year ago
Download
Asanteni sanaa sanaaa @tmda_tanzania kwa Tuzo hii imekuwa moja ya  kuongeza chachu katika kazi zangu na kunipatia heshima kubwa kwa  upande wa Magazeti 2025 🔥 by @pennymalundo
9
a year ago
Download
🙏🙏
.
Ardhi ya Kongwa, Dodoma imempokea, katika nyumba yake ya milele, amelala sasa Ndugu yetu Daniel Mbega, macho yetu hayatamuona tena. Ni huzuni, ni huzuni, ni huzuni kuu. Mioyo yetu bado inaomboleza. Lakini tunalo tumaini kwa sababu ameondoka akiwa ametuachia urithi mzuri sisi wana tasnia ya habari. Alipenda tuwe wa-moja, makini, mahiri na tuzingatie weledi katika kazi zetu kwa ajili ya jamii yetu na Taifa letu.

DAR-PC daima tutaenzi nasaha zake na ushauri wake. Asante Ndugu Daniel Mbega upumzike kwa amani. 🙏
.
#habarizadarpc by @pennymalundo
4
a year ago
Download
😭 TANZIA TANZIA TANZIA
.
Uongozi wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DAR-PC) unasikitika kutangaza kifo cha Mhariri Mkuu wa Gazeti la Maendeleo na mwanachama wake, Ndugu Daniel Mbega, kilichotokea leo asubuhi Oktoba 11, 2025 na mwili umehifadhiwa Hospitali ya Rufaa Temeke, jijiji Dar es Salaam.

Ndugu Mbega alikuwa mwanachama mwaminifu, makini, mahiri katika kazi zake. Daima tutauenzi mchango wake mkubwa alioutoa kwa tasnia yetu ya habari na kwa klabu yetu ya DAR-PC.

Tunatoa pole kwa kila aliyeguswa na msiba huu mzito, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.🙏

Imetolewa na:
Mary Mashina
Makamu Mwenyekiti - DAR-PC
__________________________________________________

😭 OBITUARY NOTICE

The Dar es Salaam Press Club (DAR-PC) is deeply saddened to announce the passing of Mr. Daniel Mbega, Chief Editor of Maendeleo Newspaper and one of our esteemed members. He passed away on the morning of October 11, 2025, and his body has been preserved at Temeke Regional Referral Hospital, Dar es Salaam.

Mr. Mbega was a devoted, ethical, and exceptionally skilled journalist whose professionalism, mentorship, and dedication left a lasting mark on Tanzania’s media landscape and on our Club. His remarkable contribution, integrity, and passion for journalism will be remembered and celebrated for years to come.

We extend our heartfelt condolences to his family, colleagues, and all who were touched by his life and work. The Lord gave, and the Lord has taken away; blessed be the name of the Lord.🙏

Issued by:
Mary Mashina
Vice Chairperson - DAR-PC
.
#habarizadarpc by @pennymalundo
0
a year ago
Download
Mungu alivyotutendea kukamilisha hili July 26,2025
Dressed by @new_jakitabridal_1 
Makeup by @happiee_beuty_parlour2 by @pennymalundo
22
a year ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up