Instagram story viewer> @pumaenergy_tanzania> Posts
2179
posts
32.8K
followers
11
following
Ukurasa rasmi wa Puma Energy Tanzania.
Pakua Puma Pris App | Wasiliana nasi bure 0800 111 192
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Karibu kwenye familia ya Puma CNG ufurahie urahisi wa huduma zetu. Tembelea vituo vyetu vya PumaCNG Mbezi Beach Tangi Bovu, Tegeta IPTL na Ubungo leo!

#PumaCNG
#EnergisingCommunities by @pumaenergy_tanzania
2
4 months ago
Download
Karibu kwenye familia ya Puma CNG ufurahie urahisi wa huduma zetu. Tembelea vituo vyetu vya PumaCNG Mbezi Beach Tangi Bovu, Tegeta IPTL na Ubungo leo!

#PumaCNG
#EnergisingCommunities by @pumaenergy_tanzania
1
4 months ago
Download
Karibu kwenye familia ya Puma CNG ufurahie urahisi wa huduma zetu. Tembelea vituo vyetu vya PumaCNG Mbezi Beach Tangi Bovu, Tegeta IPTL na Ubungo leo!

#PumaCNG
#EnergisingCommunities by @pumaenergy_tanzania
2
4 months ago
Download
Asante kwa kila mteja, mshirika, mdau na mfanyakazi aliyekuwa sehemu ya uzinduzi wa kituo cha Puma Tabora. Kufikia vituo 100 nchini Tanzania ni mafanikio tunayojivunia kwa sababu yamejengwa kupitia ushirikiano, uaminifu na huduma bora kwa miaka mingi.

Safari inaendelea, na tunaendelea kuwahudumia Watanzania kwa viwango vinavyostahili.

#PumaTabora
#WekaWesePataPoints
#EnergisingCommunities by @pumaenergy_tanzania
0
a day ago
Download
AD: Puma Energy Tanzania has officially launched its 100th retail fuel station in the country, marking a significant milestone in strengthening access to reliable energy services for communities across Tanzania.

The new station, which is the first Puma Energy station in the Tabora Region, was officially launched by the Tabora District Commissioner, Upendo Wella and will enable residents of Tabora and surrounding areas to access quality fuel products, Puma lubricants, PumaGas, as well as opportunities to earn points through the Puma Pris loyalty program.

As part of its commitment to being a trusted partner in the communities where it operates, Puma Energy Tanzania also donated 100 mattresses to Istiqaama Children’s Centre, provided 100 desks to Usule Primary School, and planted 100 trees at the school to support environmental conservation and promote sustainable community development in the region.

#EnergisingCommunities
#EverywhereYouGetPoints
#PumaTabora
#100StationsMilestone by @pumaenergy_tanzania
7
2 days ago
Download
Kampuni ya Nishati ya Puma Tanzania imezindua rasmi kituo chake cha 100 cha huduma za mafuta nchini, huku ikifungua kituo chake cha kwanza mkoani Tabora katika hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa nishati salama na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.

Kituo hicho kilichopo mjini Tabora kilizinduliwa Julai 22, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, akishirikiana na viongozi wa serikali, wawakilishi wa wananchi, wateja pamoja na menejimenti ya kampuni hiyo.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Tanzania, Fatma Abdalla, alisema kufikisha vituo 100 ni ishara ya imani ya kampuni katika uchumi wa Tanzania na dhamira yake ya kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya nishati.

Alisema uwekezaji huo utarahisisha upatikanaji wa mafuta ya uhakika, kuimarisha biashara, kuchochea shughuli za usafirishaji na kuongeza fursa za ajira, hususan katika mkoa wa Tabora ambao unaendelea kukua kwa shughuli za kilimo na biashara.

"Kuanzisha kituo chetu cha 100 si tu kupanua mtandao wa huduma, bali ni kuimarisha ushirikiano wetu wa muda mrefu na Tanzania. Tunaamini upatikanaji wa nishati ya uhakika unafungua fursa za maendeleo kwa wananchi na uchumi wa taifa," alisema Abdalla.

Mbali na uwekezaji huo, kampuni hiyo ilitekeleza shughuli mbalimbali za uwajibikaji kwa jamii (CSR), ikitoa magodoro 100 kwa Kituo cha Kulelea Watoto cha Istiqaama, madawati 100 kwa Shule ya Msingi Usule pamoja na kupanda miti 100 kwa kushirikiana na wananchi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuhifadhi mazingira. by @pumaenergy_tanzania
0
2 days ago
Download
Asante kwa kila mteja, mshirika, mdau na mfanyakazi aliyekuwa sehemu ya siku hii ya kipekee. Kufikia vituo 100 nchini Tanzania ni mafanikio tunayojivunia kwa sababu yamejengwa kupitia ushirikiano, uaminifu na huduma bora kwa miaka mingi.

Safari inaendelea, na tunaendelea kuwahudumia Watanzania kwa viwango vinavyostahili.

#EnergisingCommunities
#WekeWesePataPoints
#PumaTabora
#Vituo100UnyamweziSana by @pumaenergy_tanzania
0
2 days ago
Download
Tabora📍

Jana, 22 Julai 2026, tuliandika historia kwa kuzindua rasmi kituo chetu cha kwanza mkoani Tabora na wakati huohuo kusherehekea ufunguzi wa kituo cha 100 cha Puma Energy Tanzania.

Tunamshukuru Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Upendo Wella, wageni waalikwa na wadau wote waliohudhuria kushuhudia hatua hii muhimu katika safari yetu ya kuwahudumia Watanzania kwa huduma bora za nishati.

#EnergisingCommunities
#WekeWesePataPoints
#PumaTabora
#Vituo100UnyamweziSana by @pumaenergy_tanzania
0
2 days ago
Download
Tumeweka alama nyingine muhimu katika safari yetu ya ukuaji nchini Tanzania kwa kuzindua kituo chetu cha 100 cha huduma za mafuta mkoani Tabora, hatua inayodhihirisha dhamira yetu ya kupanua upatikanaji wa huduma bora za nishati kote nchini.

Kikiwa ni kituo chetu cha kwanza mkoani Tabora, kituo hiki kimezinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, na kitawawezesha wakazi wa Tabora na maeneo jirani kupata huduma bora za mafuta, oili za magari, huduma za ziada kutoka maduka ya ShopExpress, mgahawa na Service Bay.

Wewe ni sehemu ya mafanikio haya! Karibu tusherehekee pamoja hatua hii kubwa kwa kupata huduma bora katika vituo vyetu 100 vya huduma za mafuta kote Tanzania.

#EnergisingCommunities
#WekeWesePataPoints
#PumaTabora
#Vituo100UnyamweziSana by @pumaenergy_tanzania
2
2 days ago
Download
Tabora, wakati umefika!

Kesho, tarehe 22 Julai 2026, Puma Energy Tanzania itazindua rasmi kituo chake cha kwanza Mkoani Tabora, ambacho pia ni kituo cha 100 nchini. Hii ni hatua muhimu katika safari yetu ya kuendelea kuwafikishia Watanzania huduma bora za nishati.

Uzinduzi huo utahudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paulo Matiko Chacha, ambaye atakuwa mgeni rasmi. Kituo kinapatikana roundabout ya kuelekea Ikulu, Tabora.

Kupitia kituo hiki, wakazi wa Tabora watapata huduma za mafuta ya ubora, Puma Lubricants, PumaGas pamoja na fursa ya kukusanya points za Puma Pris kila wanapotumia huduma zetu.

Karibu tuadhimishe pamoja uzinduzi wa kituo chetu cha kwanza Tabora na mafanikio ya kufikisha vituo 100 nchini Tanzania.

#EnergisingCommunities
#WekeWesePataPoints
#PumaTabora
#Vituo100UnyamweziSana by @pumaenergy_tanzania
16
4 days ago
Download
Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania Bi Fatma M Abdallah na baadhi ya wawakilishi wamewasili mkoani Tabora. Mapema leo alipata wasaa wa kutembelea wateja,  wadau na kituo cha Puma Tabora kitakachozinduliwa kesho. 

Sisi tupo tayari, wewe je?

#EnergisingCommunities
#PumaTabora by @pumaenergy_tanzania
9
4 days ago
Download
Puma PRISS Yaimarisha Ukaribu wa Wateja na Huduma za Puma Energy.

TABORA: Mratibu wa Upanuzi wa Mtandao wa Vituo vya Reja Reja wa Kampuni ya Puma Energy, Fredy Temu, amesema programu ya Puma PRISS imeundwa kwa lengo la kuwaleta wateja karibu zaidi na bidhaa na huduma zinazotolewa na kampuni hiyo.

Temu amesema kupitia programu hiyo, wateja wanaweza kufuatilia pointi wanazokusanya kila wanapofanya manunuzi ya bidhaa za Puma Energy, ikiwemo gesi ya kupikia na gesi ya magari aina ya CNG.

Ameeleza kuwa Puma PRISS pia humrahisishia mteja kupata manufaa na zawadi zinazotokana na pointi alizokusanya akiwa mahali popote nchini Tanzania, hivyo kuongeza urahisi na thamani ya kutumia bidhaa za Puma Energy.

Aidha, amesema programu hiyo ni sehemu ya mkakati wa Puma Energy wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kutumia teknolojia, huku ikiwapa fursa ya kufurahia huduma za kisasa na kupata taarifa mbalimbali kuhusu bidhaa na huduma za kampuni hiyo kwa urahisi.

Temu amewahimiza Watanzania kupakua na kutumia programu ya Puma PRISS ili kunufaika na huduma, zawadi na fursa mbalimbali zinazotolewa na Puma Energy. by @pumaenergy_tanzania
0
4 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up