Instagram story viewer> @pure_wellness_tz> Posts
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
16 days ago
Download
taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
16 days ago
Download
Kumekuwa na Ongezeko kubwa Kwa tatizo la upungufu wa Nguvu za Kiume Kwa miaka ya Hivi Karibuni Tukilinganisha na miaka ya huko zamani!
Na yote haya yamesababishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa maisha ambao watu wengi wanajisahau (Hawafahamu)

Mfumo wako maisha unaomaliza nguvu za Kiume ni kama:

Unywaji wa pombe/ uvutaji wa Sigara kupita kiasi, mtu ambaye ni mlevi au anavuta Sigara hujiweka katika hatari ya kupata madhara mengi kama vile; magonjwa ya moyo,presha,kisukari, uzito kupita kiasi. 
Mara Nyingi Matatizo haya hupunguza Uzalishaji wa hormone ya Testosterone na huleta Matatizo ya Upungufu wa Nguvu
Kuwa mtu wa kuishi na msongo wa mawazo muda wote au kuwa mtu mwenye Hofu na mashaka, tafiti zinaonyesha miongoni mwa waathirika wakubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni wale ambao wana stress nyingi au msongo wa mawazo hali ambayo huwapekelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa vizuri.

Matumizi ya baadhi ya dawa, kuna baadhi ya dawa ambazo zina athari katika mfumo wa uzazi wa mwanaume ikiwa ni pamoja na booster kama Viagra, mkongo..nk.

Kwa mwanaume ambaye anapiga puchu au punyeto mara kwa mara ndani ya kipindi kirefu huweza kuleta athari pia katika mfumo wako wa uzazi ikiwa ni pamoja na kupungua kwa nguvu za kiume.

Kutofanya mazoezi, Kutokana na mtindo wa ulaji wa maisha ya sasa mazoezi ni muhimu kwa mwili maana Husaidia sana kuboresha mzunguko wa damu na hivi ni Kwa kuwa yanasaidia sana kuondoa cholesterol mbaya mwilini.

Kutopata muda wa kutosha wa kupumzika. Mwili unahitaji kupumzika na akili pia, kutokulala hupelekea homoni(cortisol) kuwa juu ambayo pia hupunguza hamu ya tendo la ndoa na uume kusimama.

Kula vyakula ambavyo havina virutubisho muhimu sana mwilini , kula wanga Kwa wingi na kula bila mpangilio mzuri.

Tumesaidia Wanaume Wengi sana kuimarika vizuri kwenye Tendo la ndoa kupitia program maalum za Virutubisho ambavyo vitaenda kukupatia madini ambayo unakosa Kila siku kwenye maisha yako ya Kila siku. by @pure_wellness_tz
0
22 days ago
Download
Ameeen by @pure_wellness_tz
0
24 days ago
Download
Wapo baadhi ya wanaume wanadhani ili umfikishe mwanamke kileleni basi unatakiwa umfanye kwa nguvu au kwa fujo sana utadhani ni ugomvi fulani hivi!, mapenzi siyo hivyo. Ndiyo hutakiwi ufanye kilegelege sana lakini pia huhitaji kufanya kwa nguvu kama vile ni ugomvi!

Tatizo ni hizo video feki mnazotazama mnadhani mapenzi ndiyo huwa hivyo jambo ambalo si kweli. Kila mwaka wasichana na wanawake wengi hutekwa na watu wasiojulikana sehemu mbalimbali duniani na baadhi yao hufanyiwa vitendo vya kikatili ikiwemo vya kingono na hurekodiwa.

Sasa wewe unapoangalia picha kama hizo unadhani mapenzi ndiyo hufanywa hivyo kumbe si kweli.

Kuna wanaume wakianza kazi hiyo ni kama vile mashine inakoboa mahindi yaani ni ugomvi mwanamke anabaki akiumia tu na kama hajuwi naye anabaki kuumia tu hata siku nyingine ukimhitaji atakataa kwa visingizio vingi sababu unamuumiza bila wewe kujua.

Pole pole, kwa nguvu kidogo inapochanganya lakini siyo kwa fujo kama vile ugomvi. Umeipata hiyo bila shaka kazi inabaki kuwa kwako!.

Kumbuka mwanaume lazima utafika kileleni hata iweje, hivyo ni jukumu lako kuhakikisha kabla hujawa na uwezo tena wa kuendelea na tendo la ndoa uwe umeona na una uhakika mke wako naye amefika kileleleni.

Hivyo nguvu za kiume siyo idadi ya mabao, ni muda unaotumia kubaki hapo kifuani ndiyo muhimu na si idadi ya mabao.

Pamoja na hayo yote, elimu muhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula na Virutubisho tunavyokula kila siku.

KWA USHAURI ZAIDI, ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA
0618512848 taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
Faida ya kutumia package Yetu ya kurudisha nguvu za Kiume

Tegemea haya

1️⃣ Itakufanya ukae kwenye Tendo Dkk 45 bila Kumwaga kwahiyo itakupa kujiamini na kukuepusha na aibu

2️⃣ Utaweza kusimamisha mashine Kwa ufasaha na sio Lege Lege, kwahiyo utaweza kunganisha round na kufanya tendo Kwa style zote bila hofu ya mashine kulala kwenye kasili

3️⃣ Utaweza kurudia Tendo ndani ya dkk 1 tu baada ya Kumwaga hivyo itakupa uhakika Kwa kupiga show Kali na nyingi sana.

4️⃣ utaanza kwenda Round 04 huku ukiwa na uhakika wa kumridhisha mwanamke wako.

5️⃣ itaongeza hamu na hutohitaji booster yoyote katika maisha Yako yote na utaweza kupiga shoo mda wowote unaotaka taken in Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
Wanaume wengi 

wanajiharibia nguvu za kiume kila siku bila kujua chanzo ni nini!

Chipsi za mara kwa mara hasa zinazopikwa kwenye mafuta yaliyorudiwa zinaweza kuongeza sumu mwilini na kuathiri mzunguko wa damu pamoja na ubora wa mbegu za kiume.
Afya ya mwanaume inaanzia kwenye unachokula kila siku.

Anza kubadilisha mfumo wa maisha leo:
✅ Punguza vyakula vya mafuta mengi
✅ Kunywa maji ya kutosha
✅ Kula matunda na mboga
✅ Tumia virutubisho sahihi kwa afya ya mwanaume

📩 Nitafute upate virutubisho vya kuongeza nguvu, stamina na afya bora ya uzazi. taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
Mwanaume anza kujipambania mapema kuepukana na dharau kama hizi aseee

 Follow@pure_wellness tz kwa elimu na ushauri kuhusu afya ya uzazi na zinginezo taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
Chukua hiyo mshua taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
🔥 “Usisubiri ugonjwa ukue—anza kujijali mapema!” 🔥

Virutubisho tiba vinaweza kusaidia mwili wako kwa njia mbalimbali kama vile: kuongeza nguvu za mwili 💪, kusaidia kinga ya mwili 🛡️, na kurekebisha upungufu wa lishe unaoweza kusababisha uchovu na mwili kudhoofika.

Watu wengi hupuuza afya mpaka wanaposhikwa na matatizo—lakini siri kubwa ni kuzuia kabla ya matibabu kuwa magumu zaidi.

✨ Chagua kujijali leo, badilisha afya yako kesho.

#AfyaNiUwekezaji #JaliMwiliWako #VirutubishoTiba taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
Bawasiri (Hemorrhoids) kwa kawaida haisababishi moja kwa moja upungufu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction). Hata hivyo, kuna njia chache ambazo zinaweza kufanya mtu aone kama kuna uhusiano:

Kwanza, bawasiri husababisha maumivu, kuwashwa, au usumbufu mkali wakati wa kukaa au kwenda haja kubwa. Maumivu haya yanaweza kupunguza hamu ya tendo la ndoa au kufanya mwili uwe katika hali ya msongo, na msongo huo unaweza kuathiri uwezo wa kupata au kudumisha nguvu za kiume.

Pili, mtu mwenye bawasiri kali anaweza kupata wasiwasi au stress ya kiafya. Akili inapokuwa kwenye maumivu au hofu, mwili huongeza homoni za msongo (kama cortisol), ambazo zinaweza kupunguza hamu ya tendo la ndoa na kuathiri utendaji wa misuli na mishipa inayohusika na kusimama kwa uume.

Tatu, baadhi ya watu wenye bawasiri pia wanaweza kuwa na mtindo wa maisha unaochangia tatizo zote mbili, kama kukaa muda mrefu, kutofanya mazoezi, au kupata kuvimbiwa mara kwa mara. Hizi zinaweza kuathiri mzunguko wa damu kwa ujumla, na mzunguko mzuri wa damu ni muhimu sana kwa nguvu za kiume.

Lakini muhimu kuelewa ni hii:

👉 Bawasiri yenyewe si chanzo cha moja kwa moja cha upungufu wa nguvu za kiume.
👉 Kama kuna tatizo la nguvu za kiume linaloendelea, mara nyingi chanzo huwa kingine kama mzunguko wa damu, homoni, msongo wa mawazo, au magonjwa ya muda mrefu. by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
taken in Tanzania, Africa by @pure_wellness_tz
0
a month ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up