Instagram story viewer> @rabihume> Posts
1281
posts
315.4K
followers
220
following
🌐 Manage Digital Platforms @simbasctanzania
📸 Photographer @simbasctanzania
📊 Marketing Agency @pera__agency
🛍️ Clothing Store @pera.store__
POSTS STORIES REELS TAGGED
Download All
Happy birthday Katibu @babchicharito2407. Ishi miaka mingi kaka. by @rabihume
12
a day ago
Download
Sijui namba gani ya kuelezea lakini tumepoteza mpambanaji kwelikweli, mtu ambaye kwake Simba kwanza mengine baadae. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema. Tutamkumbuka sana kwa mambo mengi mazuri ya maisha binafsi na maisha ya kazi. Mungu na mipango yake lakini tumepoteza mtu mwema sana. by @rabihume
48
2 days ago
Download
Football takes us to Kigali 🇷🇼 CECAFA Kagame Cup with my brother from Ghana, @mickyjnrofficial by @rabihume
25
3 days ago
Download
Kila siku ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. by @rabihume
18
4 days ago
Download
Back to where it all started. 📸❤️ Safari Yangu Ilianza Hapa. Tarehe 25 Mei 2024 ndiyo ilikuwa siku yangu ya kwanza kabisa kuingia uwanjani kama mpiga picha. Ilikuwa mechi ya Simba SC dhidi ya KMC katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, na siku hiyo ndiyo ilibadilisha mwelekeo wa safari yangu.Kabla ya hapo, nilikuwa namfuatilia sana mpiga picha wa Simba, Brother @rabihume . Siku moja nikajikusanya, nikamtumia ujumbe Instagram nikimweleza ndoto yangu ya kuingia uwanjani na kupiga picha. Bila kusita, alinipa nafasi na kuniongoza. Kitendo hicho kilikuwa mwanzo wa kila kitu.Leo nikitazama nilikotoka na nilipofika, naona safari iliyojaa kujifunza, kujituma na kukua. Nimebahatika kujifunza mengi kutoka kwake, lakini pia kutoka kwa wapiga picha wengine wengi katika tasnia ya michezo ambao wamekuwa sehemu ya ukuaji wangu.Wanasema “Kila mtaalamu aliwahi kuwa mwanzilishi.” Hii ni kumbukumbu kwamba ndoto huanza na hatua moja tu ya ujasiri.Asante kwa kila aliyekuwa sehemu ya safari yangu. Bado tunaendelea kujifunza, kukua na kusimulia hadithi kupitia picha.The journey is just getting started. 📷⚽ by @rabihume
17
5 days ago
Download
🫴🏼 Consistency.#TheManipulator #ZaSimu #NguvuMoja by @rabihume
14
6 days ago
Download
Sisi watu wa Spain tumewala watu wa Argentina hili ☝️ by @rabihume
31
6 days ago
Download
Sisi watu wa katikati ushindi leo ulikuwa lazima 😃Hongereni Wahispania wenzangu 🇪🇸Poleni Waargentina 🇦🇷 by @rabihume
31
6 days ago
Download
Bingwa leo ni kati ya sisi Millennials 🇦🇷 au Generation Z 🇪🇸 by @rabihume
2
6 days ago
Download
Injini ya maana sana @kelvin_nashon_24 by @rabihume
71
6 days ago
Download
Malengo makubwa kuelekea msimu mpya yanahitaji wachezaji makubwa. Tuliwataka, tumewapata na sasa wako tayari kutambulishwa kwa mamilioni ya Wanasimba duniani kote. Kuwa wa kwanza kuona sajili hizi kubwa kwa kutumia SIMBA APP 📲 Pakua kupitia Play Store au App Store na lipia sasa. #NguvuMoja by @rabihume
5k
7 days ago
Download
Resetting for what is next. by @rabihume
21
8 days ago
Download
×

Download all media on this page

Photos Videos
back to up