Instagram story viewer> @real_neyzer> Posts
1.8K
followers
753
following
Dancer forever/ Trend With UsThrough Dancing Challenge
Dar🇹🇿 @gods_chosen_generation_crew
POSTS STORIES REELS TAGGED
🎂❤️ Heri ya siku ya kuzaliwa kwa kaka yangu, mshikaji wangu wa ukweli Nasir aka Neyzer! 🥳👑🔥 Mungu azidi kukulinda, kukuongoza na kukufungulia milango ya mafanikio. 🙏✨ Maisha yako yajazwe furaha, amani na baraka zisizo na mwisho. ❤️🤝 Kaka si jina tu, ni upendo na heshima! 💯🔥 Endelea kuwa yule mtu wa kipekee, bro wangu. More life, more blessings, more success! 🥂🎉❤️

#happybirthday❤️ #brotherhood💪 #trending #viral #instagram by @real_neyzer
14
a day ago
Download
##DAKIKA MOJA DANCE taken in Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania by @real_neyzer
6
a day ago
Download
TAARIFA HII NI SPECIAL SANA MAISHANI MWANGU😰

  Katika maisha ya mtu kwenye MAFANIKIO yake huwaga hakosi mtu mmoja Ambaye sio ndugu yako wa damu Ila huwaga ni mtu Ambaye toka mwanzo wa safari yako hadi mafanikio huwaga yupo nawe bega kwa bega huyo anajua Maumivu yako kuliko hata wazazi wako anajua anayoyapitia mda ambao ndugu na wazazi wako hawajui na hawakuzingatii,,kiukweli kabisa huyu @real_neyzer Amekuwa sehemu kubwa sana ya maisha yangu,kuna kipindi nilikataga kabisa tamaa kuna kipindi nuru yote ilitoweka kuna kipindi najifungia tu ndani nalia mwenyewe kuna nyakati nyengine Nilitaka hata kufuta kusudi la mungu ndani yangu na ndani ya @official_gcgc kuna kipindi nilikosa la kufanya nikasema MUNGU Nimechoka siwezi Tena kila nachofanya Mbona kinakwama kila nachojitolea Mbona hakisogei ikafika hatua nikawa nawaza mawazo Kama binadamu niache kabisa haya mambo nikatae wimbo wa MUNGU aliyoniitia NIMECHOKA😰najitahidi kulia lakini maumivu hayapungui hayaishi just imagine kuna nyakati hatuna simu ya kushoot me natumia batani mdogo wangu @real_neyzer anatumia batani lakini tunafanya mazoezi kupitia simu ya mama yake na tunaenda location tunaomba simu ya mtu Ambaye hatumjui😭😭mtu Ambaye anakaa au anapita tu njia😭😭MOYO WANGU UNAUMA SANA SANA SANA BADO YANI KITU PEKEE NILICHOKUWA NACHO NI PASSWORD YA ACCOUNT ZETU😭😭kila SIKU asubuhi nasri ananitafuta ananisisitizia twende location tukashoot tunaenda sehemu ambayo hatujui tunafanya nini tunashoot na Simu gani😭😭ananiambia brother Vanny twende ile energy yake ilinipa sababu ya kusimama Tena kuna SIKU nilikaa nililia sana nilisema MUNGU katika kitu AMBACHO nakushukuru ni kunipa huyu mtu kuwa sehemu ya safari ya maisha yangu AMENIPA SABABU YA MIMI KUSIMAMA TENA NA KUPAMBANA,,,na MUNGU hakutuacha alijua analolifanya na alilolipanga juu yangu HADI PALE NILIPOANZA KUMILIKI SIMU AMBAZO SIKUWAI KUFIKILIA KUMILIKI NILIPOANZA KUSHIKA HELA AMBAZO SIKUWAI KUWAZA NINGESHIKA NILIPOANZA KUKUTANA NA WATU NA MINISTERS AMBAO SIKUWAI KUWAZA NINGEKUTANA NAO😭😭😭NEEMA YAKO YANITOSHA MUNGU HADI PALE NILIPOPATA WATU AMBAO WALIKUJA KUSIMAMA NA MIMI,,MOYO UNAUMA UNAUMA SANA

HAPPY BIRTHDAY🎂NASRI @real_neyzer by @real_neyzer
26
2 days ago
Download
✈️✈️⚔️ by @real_neyzer
6
2 days ago
Download
Tuondoke nalo sasa ✈️✈️✈️ bila kupoaa#viralreels #tanzanianvideo #trendingreelsvideo #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #videotrending by @real_neyzer
11
3 days ago
Download
Ushasikiliza wimbo mpya wew twende naloo new challenge✈️✈️⚔️. Dc by; @_real_vanny  Music 🎶 kaimba my brother @benjaminwestoni by @real_neyzer
27
5 days ago
Download
#NALIFURAHIA WALIPONIAMBIA TWENDE NYUMBANI KWA BWANA DC_OFFICIAL SKY🇹🇿 taken in Masaki by @real_neyzer
40
6 days ago
Download
Tuondokee naloo sas new challenge hiyo😂😂⚔️ by @real_neyzer
23
6 days ago
Download
 by @real_neyzer
14
8 days ago
Download
 by @real_neyzer
46
9 days ago
Download
Tuondokee nalo sasa⚔️⚔️ by @real_neyzer
13
10 days ago
Download
Asanteni sana Uongozi mzima wa umoja wa vijana wa usharika wa @kkkt_mbezibeach kwa nafasi tuliyopata🙏🏻🙏🏻
KARIBU KWA HUDUMA ZA MAIDS & GROOMS,HIGH QUALITY PERFORMANCE,NA MENGINE MENGI MUNGU AKUBARIKI
#jambolakoniletusote by @real_neyzer
63
12 days ago
Download

Download All

Save the photos and videos currently loaded on this page.

0Photos
0Videos
Ready to download 0 / 0

Keep this tab open until your download is ready.

back to up