Instagram story viewer> @mwanafa> reels
4504
posts
5.7M
followers
939
following
Tanzanian | MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | MP - Muheza Constituency | Deputy Minister - Information, Culture, Arts & Sports |
POSTS STORIES REELS TAGGED
Msimu wa 9 wa knockout ya Mama,unatokea.. @mafiaboxingpromotion wanawaletea UGOMVI 🥊😅
Tarehe 31/07

#KnockoutYaMamaSeason9 #WBCInternationalSilver #IbrahimMafia #MchanjaYohana #TheSilverBattle HistoriaInaandikwa BoxingTanzania MafiaBoxingPromotion RoadToGlory TanzaniaBoxing FightNight July31
0
5 days ago
Crazy GK Mwanafalsafa AY ..... 🎶
160
12 days ago
Hii video ya mwisho wa juma lililopita ya #tcbselousmarathon siwezi kaa nayo mwenyewe. Haitawezekana. Ilikuwa vibe kweli.

@tanzaniacommercialbank @selousmarathon_tz
55
a month ago
Umeona bwana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩😅
303
a month ago
Asante sana Mheshimiwa Mwanafa 🙏
1k
2 months ago
THIS FEELS GOOD kwa kweli. 

Dada @mismsekwa2708 akaamua kunata na wimbo bora wa mapenzi wa hiphop uliopata kuandikwa na kufanywa kwa nchi za Afrika Mashariki,Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara toka ulimwengu huu uumbwe.

Kila la heri kwenye Muunganiko huu mpya. Na ikawe ndoa yenye baraka nyingi. MC @msnajmapaul videos za hivi usipende kukaa nazo ndani sasa,zinatengeneza siku za watu wengi..

#ThisIsWhyWeRap 

Signed,
Shaaban Robert Wa Zama Hizi.
2k
2 months ago
Achia mbali hiyo finishing ya kidunia,hivi mpo makini  vizuri huu mpira ulivyopigwa kwenye hiyo assist?vijana wanaendelea kutuheshimisha.
Kituo kinachofuata nusu fainali dhidi ya Egypt ama Ivory Coast,NA WOTE TUNAWAWEZA.
Walete.
344
2 months ago
DANGER... @madeeali na marafiki zake MAGWIJI watupu,wakali wa hizi kazi,ipo kwenye platforms zote. Ipe sikio,ipe jicho,burudika mtu wangu.
539
2 months ago
Hebu Leo Tuwa TAG maboss zetu, waone namna ambavyo Boss wa @mwanafa alivyo  m’support kwenye harakati zake za pembeni (side hustle) akiamini huwezi kufika mbali kama unategemea chanzo kimoja cha mapato. (Mshahara peke yake)

FULL INTERVIEW ipo #Youtube link kwenye Bio
1k
2 months ago
Mwandishi: Anko FA,kwanini wanakuita CHOIRMASTER?

Me: Ngoja nikuoneshe kitu.

Na hamuwezi kuamini hii ndo show nliyoambiwa wahudhuriaji hawakua na vibe kabisa,ni vile tu nilikua na kazi nao..😅

Jukwaa la Fiesta,Mwanza 2012.
630
2 months ago
RAIS SAMIA AMPA PROF JAY MILIONI 30 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempatia kiasi cha shilingi Milioni 30, Nguli wa muziki wa Hip Hop nchini na mbunge wa zamani wa jimbo la Mikiumi, Prof Jay @professorjaytz ikiwa ni sehemu ya kumwezesha kuendelea na maisha yake baada ya kutoka kwenye changamoto ya afya iliyokuwa ikimkabili.

Fedha hizo zilikabidhiwa mei 10 2026 na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma @mwanafa aliyemtembelea Prof Jay akiwa ameambatana na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam Nurdin Bilal Juma (Shetta).

@ikulu_mawasiliano
201
2 months ago
Tumepiga story na @mwanafa kuhusu muziki, maisha, familia na safari yake ya kuwa mmoja wa viongozi vijana ndani ya serikali. Ulikua wakati mzuri sana na tunakushukuru FA kwa muda wako.

Tayari tumekuwekea #YouTube Channel ya DOZEN SELECTION 🎥🔥

#PodcastInterview #Dozenselection #MwanaFA
387
3 months ago
back to up